Recent content by Galatone

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kitendawili hiki Mbeya university of science and technology (MUST)

    Vumilieni tu system bado inayumba soon watatoa tu
  2. G

    JamiiForums Tanzania Jamani DIT mbona hawatoi majina?

    Must na ATC nao tayari angalieni
  3. G

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa diploma DIT pitia hapa

    fungua dit.ac.tz utaikuta
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kozi za engineering kwa wanaotarajia kujiunga na Engineering (wanao apply chuo)

    hii inatolewa pale must ila nimeona diploma only ila sijaipata poa ikoje yan pamoja na kazi zake zikoje?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Medical Students are not Creative than engineering students?

    Hivi mechanical engineering ni sawa na mechatronics engineering?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kozi za engineering kwa wanaotarajia kujiunga na Engineering (wanao apply chuo)

    Mimi naomba kujuzwa kuhusu kozi ya mechatronics engineering
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma electrical engineer

    mkuu iyo kozi inahusiana na nini naomba unijuze?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kozi mechanical engineering

    Naomba kuuliza tofauti ya mechanical na mechatronics engineering na ipi uko vizuri kumzidi mwenzake
  9. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mechatronics Engineering inahusu nini?

    Wasiwasi ni kusoma cozi isioeleweka
  10. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mechatronics Engineering inahusu nini?

    Nimekupata mkuu shukran sana ila vip kuhusu degree yake inapatikana?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mechatronics Engineering inahusu nini?

    Samahani wakuu nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nimechaguliwa kujiunga na diploma pale MIST kozi ya Mechatronics Engineering. Sasa naomba nifahamu kuhusu hii kozi inahusika na nini? Vilevile watu wanaosoma hii kozi wanafanya kazi sehemu zipi? Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom