Kozi nzuri sana!! Komaa sana niko nayo Arusha Tech. College!! Tunajiita AUTOMECH automotive, autoelectric, mechanical!! TUmekabidhiwa chuo maana ndo coz ngumu ever, na msuli mrefu mpaka entropy zinapanda, hatuelewi ni makauzu dagaa hafai!! Watoto wa Baba tunajiita!! Automotivists na Mechanical takers wanahitajika kuchukua Aircraft Maintainance... Na nchi yetu inaelekea industrial initialization!! Kozi moja na heshima zake, lazima uwe kauzu na thermo, machne design, mechatronic, power production!! PCM uwe vizuri!! Kama huwezi hapo utapotea.