Recent content by galatia

  1. galatia

    JamiiForums Tanzania Ulizo: Kwanini polisi inazuia albadiri isisomwe?

    Swali langu ni hilo tu.. Nyie watu mnahofia nini ?kwani hiyo dua ikisomwa inatawahusu nyie? Hiyo ni dua maalum ya kuwasaka wasiojulikana. Mnatutia mashaka sana.
  2. galatia

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutambua marafiki wanaotumia simu kama yako.

    Nokia 3310
  3. galatia

    JamiiForums Tanzania Lissu: Serikali hii (ya Magufuli) ni ya hovyo, huyu dikteta uchwara anahitaji kupingwa na kila mwananchi

    Awe anajua au hajui lkn ndiye rais wako, wewe unayejua utaendelea kuwa chini yake kwa miaka yake yote kumi ya uongozi wake sure, akimua lolote lazima ufuate haijalishi unataka au hutaki
  4. galatia

    JamiiForums Tanzania Lissu: Serikali hii (ya Magufuli) ni ya hovyo, huyu dikteta uchwara anahitaji kupingwa na kila mwananchi

    Wewe huogopi kwakuwa upo nyuma ya keyboard.. Usishindane na aliyeshika mpini, hayo maneno ya Lisu ni ngonjela tu ,real I tell you! Lisu angekuwa na nia ya kupata kiongozi bora wa nchi hii kweli basi asingekuwa na sababu ya kuendelea kuwa mwanachadema tangu walipo mkaribisha yule...
  5. galatia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

    Kabsa mkuu
  6. galatia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

    Jifunze kuandika ndipo uje... Unaohurusha ndiyo nini?
  7. galatia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

    Hata aliyekuleta duniani anayo nyuma ni vyema ukamuombe yeye hawezi kukunyima maana ana uchungu nawewe.
  8. galatia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

    Hilo swali jiulize mwenyewe
  9. galatia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

    Sina majibu
  10. galatia

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Geniveros

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bado bhana
  11. galatia

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Geniveros

    Hongera Mwaya..but kwenye kundi la wazee bado hufit kabsa
  12. galatia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

    Mwenyewe niliwahi tupia Uzi wa kusaka mweza ...lkn sikufanikiwa
  13. galatia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

    Ndiyo,kwan vipi?
  14. galatia

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Geniveros

    Happy birthday gen...how old are you now?
Back
Top Bottom