Kabisa mkuu mi mshua alikufa ndo nipo seven then nikamaliza shule nikafail kuingia sekondari nakumbuka kulikuwa na msiba wa bibi yangu mzaa baba sasa kwenye vikundi vyake wakawa wametoa rambi rambi kama milioni tatu huwezi amini nilipoomba kupelekwa shule baba yangu mkubwa alinambia siwezi...
Mi kuna demu alikuwa ananinyima papuchi nilimtafuna mara moja tu tena kwa mbinde ile unapiga moja fasta anakwambia nawahi nyumbani....sasa siku moja alinipa simu nimfanyie hard reset kasahau password mimi nikaenda nayo home sasa nikakisia password nikapatia kusoma meseji kidogo nizimie kuna...
Nilisoma kidato cha 5&6 na wasanii wawili wa gospel na tukawa close Goodluck Gozbert-mwakavuta high school makete na Joel lwaga-njombe secondary school. kiukweli kama Good alikuwa anajuhud sana kulikuwa na mshkaj anajiita barl kiss wa mafionso ndo alikuwa mpinzani wake na jamaa alikuwa na kipaji...
Hao ni wale unakuta anasaidia kwao ila hakuna idara ni rahisi kuwa tajiri kama idara ya elimu coz unapata muda wa kufanya mambo yako. Mi kuna walimu nikikutajia hapa wana ukwasi wa bei mbaya waliinvest kwenye mambo mengine ila ukitegemea mshahara ukutoe utakufa maskini
Sent using Jamii Forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.