Hii inafikirisha sana,,Leo muafrika hawezi kumheshimu muafrika mwenzie kisa dini za wageni ambazo kiundani ndo zimefanya kazi kubwa ya kutufanya watumwa wazuri.
Kwa trend iliyopo,Tz haitokuja kupata maendeleo ya kweli,,nchi imejaa watu ambao ukisikia wanavyofanya mambo unajiuliza kama Wana ubongo ndani ya mafuvu yao au pengine mafuvu ndani ni matupu😅🚮
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.