Nguruwe wa mbegu kwajili ya uzalishaji wanauzwa wapo wawili name hali zao safi , wana rangi nyeusi.
kwa mawasiliano 0653634503 au 0764363056
wanapatikana dar tegeta.
Nimependa mawazo na mtazamo ya kibiashara kijumla .. Hata me huwa nafkr meng sana juu ya kujiajir lakin mtaji ndyo tatizo kuna biashara nying nafikiria lakin pesa tatizo lakn namin ipo cku ntakuwa na biashara zangu kwasasa naendesha biashara za watu yan vitu ambavyo nafkr kufanya nmempa mtu idea...
Nataka kujua kuhusu KAPADIA EDUCATION FOUNDATION inakuwaje jinsi ya application Zao kwa aliye wahi kupitia au anafaham anijuze ..Mana naitaji kuendelea na Elimu ya juu nilimaliza ngazi ya Cheti Nilichukua Utawala wa biashara naitaji msaada wana jf..
0653634503 mwaweza nitafuta kupitia kwa...
Me nikijana mwenye umri wa miaka 22, natafuta kazi yoyote ili nipate kipato niweze kilipa ada yangu ya chuo nipate cheti na niweze kuendelea na Diploma nimesimama kutokana na kutokuwa na pesa....nisaidieni wadau mana nimeangaika kutafuta kazi laki sifanikiwi, nimesoma Business Administration...
Wadau niaje natumai mpo pouwer , sasa hao jkt si washaenda kuripoti kambini kuanzia tar3 nmeona kuna mdau anasema karibuni wanaenda kuripoti? na uhamiaji vp mana tumeomba watu lakini hatujua huwa wanatumia mda gani kuanza usaili na kuwapeleka watu kambini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.