Recent content by gailu

  1. G

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kuhusu upotoshwaji wa ugonjwa wa homa ya Dengue

    umeonaeee, watu wanataka tu wapitishe bajeti zao kiulaini huku sis tuko bize na dengue
  2. G

    JamiiForums Tanzania Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014: DIV I point 3-7

    i agree with u my friend its where we get the point that Tanzanian education is going to rest in hell due to politics
  3. G

    JamiiForums Tanzania Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

    alikua mkongwe wa muziki wa dansi nchini
  4. G

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!

    sasa ww unaquote habar yote unaboa
  5. G

    JamiiForums Tanzania Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    yan nilishtuka sana ckupata tena ucngiz mapema
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

    Japo siipend ccm lakini kwa hili la kuchinja watoto wadogo siafikiani nalo kbs, wahusika wachukuliwe hatua
  7. G

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo picha za jamaa aliyepofuliwa macho kwa kutembea na mke wa Polisi

    Ingekua Mungu nae anatuadhibu hivi kwa yale tunayofanya cjui nan angesalia
  8. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanzisha mgogoro na China - Yamshitaki balozi wake Umoja wa Mataifa!

    labda itaongoza familia yako tu
  9. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    mbona uko out of mada
  10. G

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Kwani Tanzania tunaelekea wapi jamani?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aripoti tena Polisi (Makao Makuu); Ashikilia Msimamo Kutowapa Ushahidi

    kwa nini chadema tu?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mwajiri atumiwa uchawi baada ya kumfukuza mwajiriwa kazi

    huyo alofukuzwa kafulia
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mzee Farijala wa CCM Amshambulia Dkt. Charles Kitima

    kwani huyo Farijala anahis km sio ccm Kitima asingesoma kbs? Angeweza ht kuuza mayai akajisomesha km alkua na nia bt sio mjisingzie kua ni ccm ndo imemfikisha hapo. Kama kaniki pengne ht ww ulivaa
Back
Top Bottom