Recent content by Gai da seboga

  1. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Leo kitaeleweka kweli!!
  2. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza umri wa miaka 35, nishauri chochote

    Nasikia wa umri wako ukivunjika mfupa hauungi...
  3. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu Passport na Namba ya NIDA

    Nataka pasiport ila wazaz wote wamefariki hapo kwny document za wazaz hapatakuwa na shida??
  4. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Shule ya Sekondari Makumbusho (Dar) afukuzwa kwa kosa la kutoa adhabu kali kwa Mwanafunzi

    Hakuna mwalim mkuu anaweza kumfukuzisha Mwalimu kazi, mwalim mkuu sio Mwajiri. Labda huyo Mwalimu alikuwa anajitolea hapo...
  5. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake? Karibu tukuhudumie

    Msingi huo nilokueleza naweza stahimili kukaa miaka mingap kuweza pandisha boma?
  6. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake? Karibu tukuhudumie

    1. Hv nikiwa nmepiga msingi wa mawe na mikanda wa zege ya kokoto na nimelaza nondo moja. Msingi wa namna Hii naweza kaa miaka ata miwili kisha nikapandisha boma? 2. Kuna faida gan baada ya kupiga msingi kujaza kifusi ndan yake,!
  7. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu ya Mei Mosi mwaka huu 2025 ni Fumbo kwa Rais

    Muda n mwalim mzuur
  8. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo ya Hazina kwa Watumishi wa Umma inachukua Muda gani Kupewa?

    Ila huwez kufananisha na asilimia 16 za benk nyinginezo
  9. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo ya Hazina kwa Watumishi wa Umma inachukua Muda gani Kupewa?

    N kwel mikopo sio mizur, lakini watu wanaingia kwny mikopo sio kwa kupenda kutokana na changamoto ulonazo, na ndioman mm nlpoona huu hauna riba nikaukimbiliaa speed
  10. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo ya Hazina kwa Watumishi wa Umma inachukua Muda gani Kupewa?

    Ulicho sema n sahihi ckupingi, na mimi n mmoja wa waliopata kimuujiza japo sio yote niloomba sasa hili la kuchelewa ndio linazd nitia stress...
  11. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo ya Hazina kwa Watumishi wa Umma inachukua Muda gani Kupewa?

    Kwahiyo kuomba mkopo watu Wakae mwaka mzima? Iweje hao nmb, crdb Hawazidi ata sku tatu ishindwe hazina kuu! C n jambo la kugusa batani... Ndiomana nkahoji hapa huku kuchelewa n Halmashauri zote, au n huyu hro wetu amedhamiria kutufanyia roho mbaya
  12. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo ya Hazina kwa Watumishi wa Umma inachukua Muda gani Kupewa?

    Hakuna jibu kwa hro zaidi ya maneno ya shombo Ego, nngepata jibu la kueleweka nisingekuja uliza hapa,,,, na kuulza hapa nmeamin n sehem naweza pata waliowahi kupata hii mikopo wa kanipa ABC
  13. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo ya Hazina kwa Watumishi wa Umma inachukua Muda gani Kupewa?

    Wasalam mabibi na mababu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, Toka mwezi March tarehe 24 kulitoka tangazo la mikopo ya Hazina isiyo na Riba kwa watumishi takriban Halmashauri Nyingi Tu Nchini, Dirisha la kuomba kupitia Hazina Portal liliwekwa mpaka Tarehe 5 April. Baada ya hapo kukawa na...
  14. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Jaman bado tu naona dakika za jioniiii kabisa....
Back
Top Bottom