Recent content by GAHAGI

  1. G

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari: Magufuli shujaa wa Afrika

    Kweli kazi ya JPM ni nzuri!Tumpe ushirikiano ili afanye makubwa zaidi!ndiyo kwanza kumekucha!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kuna harufu ya ufisadi katika ununuzi wa ndege mpya

    Kila MTU ana ulevi wake;Huenda JPM naye ulevi wake ni madege!afadhali lakini kuliko angenunua uchawi!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi tuliobaki njooni tujiandae kumtetea Mh. Rais Magufuli

    JPM akitenda mema tumshukuru Mungu;akitenda mabaya tumsamehe na kumuombea kwa Mungu kwani mchezo ulishamalizika 2015;
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi limepita Bukoba leo tarehe 30 Aprili, 2017

    Twende kanisani!Mungu ana makusudi yake!
  5. G

    JamiiForums Tanzania Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

    Tuwaombee kwani safari bado,wanaweza wakaishi tu vizuri!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

    Hata hivyo mshahara siyo issue kwake!Si ninasikia katiba inamruhusu hata kuchukua pesa za ujenzi was reli,barabara hata hospital akiamua!Lamuhimu tumuombee kwa Mungu!Na muhimu zaidi tumuombee Bw. Edward afya yake iendelee kuimarika!2020 pachimbike zaidi!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wakenya ni wazalendo kuliko watanzania

    Uzalendo ndiyo nini?isije ikawa ni aina ya ugonjwa fulani!t
  8. G

    JamiiForums Tanzania Namchukia Magufuli from bottom of my heart

    Nchi inatikisika tupigeni magoti tusali;tumshukuru Mungu.Tumwombe Mungu aendelee kumjalia afya njema Bw.Edward a.k.a Mzungu wa Monduli.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume tuoane

    Hauna madeni kweli HESLB maana hii Hali inatisha!
Back
Top Bottom