Recent content by GAGL

  1. GAGL

    JamiiForums Tanzania Gharama za kusurvey na kuchimba kisima Tabora

    Sikupata kaka
  2. GAGL

    JamiiForums Tanzania Russia-Ukraine War: Makombora ya Russia yapiga hospitali ya watoto wanaougua kansa Ukraine

    Tulieni mwanaume amwage shahawa, nye nye nye za nini? Mlipoua watu kanisani mlitegemea Russia ifanyaje. Mnatoa report za kutaka huruma, hakuna huruma kwenye vita. Kama mnapanga udhalimu wenu kwenye maeneo ya raia badala kambi za kijeshi, nani ni mshenzi. Kaeni kwa utulivu, mkihisi ujotojoto ujue...
  3. GAGL

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nisaidieni: Nina eneo langu lakini nimekuta limepangiwa matumizi bila kunihusisha

    Nenda halmashauri ukaangalie mpango wa matumizi ya ardhi kwenye hilo eneo ulikuwepo toka lini. Ukikuta tayari kulikuwa na mpango huo kabla hujanunua, basi mkabe koo aliyekuuzia.
  4. GAGL

    JamiiForums Tanzania Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Sio kwamba wana haki, bali ni maelekezo ya sheria askari kumwambia mshukiwa sababu za kukamatwa kwake. Na si lazima Polisi mkamataji akaondoka na mshukiwa wake, Polisi anaweza kutangulia, mshukiwa akamfuata mwenyewe kituoni.
  5. GAGL

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu Hayati Sokoine

    NIni kimetokea kwenye familia ya Sokoine hadi selikali nzima iende kuazimisha kumbukumbu ya kifo chake. Nani anayemuenzi sokoine hata kwa mawazo tu. Tusaidizane, nini kimetokea mwaka huu.
  6. GAGL

    JamiiForums Tanzania Flying the F-35 stealth fighter can leave pilots looking 'like they are 100 years old,' says test pilot

    Wewe unayejua, bado hujui kuwa Syria inakaliwa na makundi kibao ikiwamo makundi ambayo yana ugomvi na Israel. Uliwahi kusikia katika kujua kwako, Ikulu ya Assad imeshambuliwa na makombora ya Israel au US? Hao mabasha wako Israel wamewahi kushambulia iliko mifumo ya S-400 huko Syria. Usijifanye...
  7. GAGL

    JamiiForums Tanzania Flying the F-35 stealth fighter can leave pilots looking 'like they are 100 years old,' says test pilot

    Hiyo Blackbird ambayo ilikuwa na speed kuliko misile kipindi hicho ilifanya mission ipi successfully? Mandege yote hayo yanabakia na sifa za kwenye makaratasi tu. Hata huzo F-16 wanaogopa kuzipeleka Ukraine. Wanazo 800 si wampe hata tano tu Ukraine akamalize kazi kama zina uwezo huo wanaosifia...
  8. GAGL

    JamiiForums Tanzania Iran wamebaki kushangaa huku Marekani wakipitisha drone ya boat pale Strait of Hormuz

    Nadhani ana matatizo ya lishe
  9. GAGL

    JamiiForums Tanzania Iran wamebaki kushangaa huku Marekani wakipitisha drone ya boat pale Strait of Hormuz

    Una shida upstairs siku zote
  10. GAGL

    JamiiForums Tanzania Iran wamebaki kushangaa huku Marekani wakipitisha drone ya boat pale Strait of Hormuz

    Umeambiwa kabisa "in accordance with international law" bado unabwabwaja. Na Iran sio kwamba hawakuiona, waliiona na wakastuka. Hata unachokiandika mwenyewe hukielewi. Kutetea upinde ni changamoto sana.
  11. GAGL

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Na mchungaji huyo ndo wewe mwenyewe, muadventista maskini, unayejaribu kujustify umaskini wako kwa kuwapa lawama wakatoliki kuwa kwa wao kuabudu sanamu, Mungu anakulaani wewe unakosa hela ya kula. Ulishawahi kuona sehemu wakatoliki wameweka sanamu wanaliita Mungu na kuliabudu kama Mungu wao...
  12. GAGL

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini: Marufuku mabinti kufananisha jina na mtoto wa Kim Jong Un

    Wewe ulitoroka ukauawa?
  13. GAGL

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ

    "World's toughest fighter jet" Mabwana zenu wamegoma kupeleka F-16 achilia mbali F-35 ambazo wanaziamini sana.
  14. GAGL

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nina uhakika hujaelewa walimaanisha nini.
  15. GAGL

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya vituo vya metro vilivyoko kwenye majiji ya Tehran na Mashihad

    Lakini bado wamepiga hatua, we endelea kutafuta silaha halali ili na wewe upige hatua.
Back
Top Bottom