Search results

  1. GAGL

    Flying the F-35 stealth fighter can leave pilots looking 'like they are 100 years old,' says test pilot

    Wewe unayejua, bado hujui kuwa Syria inakaliwa na makundi kibao ikiwamo makundi ambayo yana ugomvi na Israel. Uliwahi kusikia katika kujua kwako, Ikulu ya Assad imeshambuliwa na makombora ya Israel au US? Hao mabasha wako Israel wamewahi kushambulia iliko mifumo ya S-400 huko Syria. Usijifanye...
  2. GAGL

    Flying the F-35 stealth fighter can leave pilots looking 'like they are 100 years old,' says test pilot

    Hiyo Blackbird ambayo ilikuwa na speed kuliko misile kipindi hicho ilifanya mission ipi successfully? Mandege yote hayo yanabakia na sifa za kwenye makaratasi tu. Hata huzo F-16 wanaogopa kuzipeleka Ukraine. Wanazo 800 si wampe hata tano tu Ukraine akamalize kazi kama zina uwezo huo wanaosifia...
  3. GAGL

    Iran wamebaki kushangaa huku Marekani wakipitisha drone ya boat pale Strait of Hormuz

    Umeambiwa kabisa "in accordance with international law" bado unabwabwaja. Na Iran sio kwamba hawakuiona, waliiona na wakastuka. Hata unachokiandika mwenyewe hukielewi. Kutetea upinde ni changamoto sana.
  4. GAGL

    Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Na mchungaji huyo ndo wewe mwenyewe, muadventista maskini, unayejaribu kujustify umaskini wako kwa kuwapa lawama wakatoliki kuwa kwa wao kuabudu sanamu, Mungu anakulaani wewe unakosa hela ya kula. Ulishawahi kuona sehemu wakatoliki wameweka sanamu wanaliita Mungu na kuliabudu kama Mungu wao...
  5. GAGL

    Mpaka sasa wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ

    "World's toughest fighter jet" Mabwana zenu wamegoma kupeleka F-16 achilia mbali F-35 ambazo wanaziamini sana.
  6. GAGL

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nina uhakika hujaelewa walimaanisha nini.
  7. GAGL

    Baadhi ya vituo vya metro vilivyoko kwenye majiji ya Tehran na Mashihad

    Lakini bado wamepiga hatua, we endelea kutafuta silaha halali ili na wewe upige hatua.
  8. GAGL

    Urusi na Ukraine: Ifahamu kambi ya kijeshi ya Urusi yenye uwezo mkubwa wa kijeshi iliyoijengwa juu ya dunia

    Ulitegemea BBC, SKYNEWS au CNN walete hiyo habari? Hivi unajua proganda dhidi ya Urusi inavyopigwa na Western tangu miaka hiyo, au unaropoka tu. Soma walau riwaya cha Vuta Nkuvute, walau uone namna gani Urusi imekuwa ikipigwa vita miaka yote.
  9. GAGL

    Urusi na Ukraine: Ifahamu kambi ya kijeshi ya Urusi yenye uwezo mkubwa wa kijeshi iliyoijengwa juu ya dunia

    Hii ilireportiwa na BBC, tatizo mnasubiri mtu alete habari ndo muanze kuponda, hamtaki hata kujishughulisha kusoma mambo ya maana, mmekalia udaku tu.
  10. GAGL

    Dassault (Rafale) Chief Says European Union’s Sanctions Against Russia Have Created Problems for Industry

    Karibia theluthi mbili ya Russia haikaliwi na watu. Ukraine ina ukubwa wa km2 603,700, ni nchi ndogo hiyo? Marekani yenye watu mil 300, na UK yenye watu mil 70+ ilikwenda kupigana na Libya yenye watu mil 7 japokuwa Libwa ni kubwa maradufu kuliko UK. Udogo wa kwenye ramani usikupotoshe.
  11. GAGL

    Tuifahamu Wagner Group kwa undani

    Rwanda hii hii ambayo ndege ya DRC inaingia hadi kwao na wanaishia kulalamika tu
  12. GAGL

    Dassault (Rafale) Chief Says European Union’s Sanctions Against Russia Have Created Problems for Industry

    Ukraine ni nchi ndogo? We naye kichwani empty kweli. Yaani hata jiografia ya darasa la sita hujui, kasome hata Atlas basi uone kama Ukraine ni nchi ndogo.
  13. GAGL

    Dassault (Rafale) Chief Says European Union’s Sanctions Against Russia Have Created Problems for Industry

    Kumbe hii ultimatum uliiweka wewe, nilikuwa natafuta hii taarifa nijue ni lini Russia walisema vita itaisha ndani ya wiki, kumbe umekuwa ukijitekenya na kucheka mwenyewe.
  14. GAGL

    Maandalizi ya Makombora ya nyuklia ya Urusi

    Russia has more nuclear war heads or nuclear bombs to be precise, than any country in the world. Muwage mnafuatilia mambo sio kusubiri matukio ndo mvae taaluma ya uchambuzi.
  15. GAGL

    Rais wa Ghana awataka Marais wa Afrika kuacha kuwa 'omba omba'

    Mkopo sio msaada, unalipwa. Na ukikopeshwa maana yake una amana za kutosha kulipa mkopo huo. Ni watu jasiri tu ndo wanaoweza kukopa kiasi hicho cha fedha.
Back
Top Bottom