T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 10,773
- 35,370
Kawaida ya ngumbaru huwa wanaandika takataka nyingi kwa vilio, lawama na visingizio. Huwezi leta facts maana zitakuumbua. Mimi naweka namba za kampuni binafsi ya SpaceX na CEO Elon Musk, wala sitaji za NASA shirika la serikali. Na wewe weka za kwako za serikali ya Urusi na ROSCOSMOS yake. Twende.Sijui elimu yako ya kiwango gani, reading between the lines hata uelewa wako wa masuala ya Roketi sayansi ni very dismal kabisa ndio maana unakimbilia kutaja taja vitu ambavyo ni totally incoherent - eti Elon Musk anawazidi hata Warusi katika teknolojia ya Roketi Science - unamudanganya nani? mbona juzi Roketi ya Elon ambayo western media na watu mbumbumbu kama wewe mlikwisha itangazia Dunia kwamba hiyo emekuwa designed specifically kwenda Mwezini - sasa kitu gani kilitokea baada ya kui-launch haikuchukua hata sekunde akalipukia mbali - sasa kwa akili zako za ajabu, kama unafikiri makampuni ya Merikani yanayo jihusisha na masuala ya ku-launch communication and spy satellite mara zote utegemea first stage rocket engine (booster) zinazo undwa Urusi na sio Merikani au taifa lingine - je, umewahi kusikia Russian rocket engine booster zinazo uzwa Merikani zikilipuka in the air au kwenye launching PAD, hakuna. Hata Elon Musk mwenyewe aliwahi kukiri kwamba linapokuja kwenye Tocket engines design Warusi zaidi sasa wewe mtumia Bill Gates Bing kufatilia masuala ya roketis, unanafikiri utapata hits ngapi zinazo sifia everything made in US ndio lengo la maprogrammer wa USA kupotosha watu kwavkuisofu sifu hata ambapo ni uongo mtupu - waulize watu walio wahi kusoma quick search na bubble search watakwambia subroutine ambabazo zinaweza kuwa embedded deliberately kukuletea matokeo chanya unapo guzia topic yoyote kuhusu USA unauliza swali hili inakuletea majibu engine pamoja na links za kuendeleza propganda - kwa bahati mbaya na wewe umekuea victim wa ptopaganda hizi za kuchonga because you dont know what goes inside the hood, nimrsoma soma majibu yako nika conclude hivyo - take it or leave it up2U, husifikiri unaweza kuvuta kamba kila member hapa - tunajua mengi lakini hatuyasemi-we bakia na stori zako za ku-brush viatu na kuvaa suti wakati wenzako wakizungumzia ma pioneers wa sayansi ya kweli na yenye mshiko.t
FYI mataifa yenye uwezo wa kuunda Roketi za kwenda Mwezini bila shida ni Warusi na Wachina, mwanzo nilikuwa inquisitive baada ya kuona base ya Roketi za Elon Musk na kwa nini zinalipuka lipuka sana, finally nika-conclude kwamba si ajabu Elon Musk anajaribu kuiga designs za Russian N1 engine za miaka ya nyuma zilikuwa very power lakini roketi moja wapo kati ya 21 zilizokuwa arranged in concentric mode ikitokea hititafu moja wapo ika-fail base computer inazima rocket engines zote nakuifanya rocketi nzima kurudi tena aridhini na kulipuka.
Labda nikohoji swali dogo: nakuomba tena ujaribu kusoma tena ulicho andika hapa - are you a level headed person kweli au? Hapa tunazungumzia masuala ya sayansi na teknolojia na kuweka wazi contribution za wanasayansi wa Urusi walizo wahi ku-contribute Duniani lakini vyombo vya habari vya magharibi akiwemo na wewe hamtaki masuala hayo yajulikane mnakuwa overly driven by rabid hatred of everything Russian - sisi tuko tayari kusema ukweli ili Dunian iondokane na kasumba ya propaganda za kijinga ya mabeberu ya masaa yote kutaka kuwadharau Warusi bila sababu yoyote - tangu Zelensky/NATO na vikaragosi wao vifaru vyao na silaha nyingine kutiwa kiberiti na silaha za Urusi - siku hizi kiburi cha NATO/USA kimeanza kuyeyuka pole pole kama barafu.
1. Rocket kubwa ya SpaceX iliyopo kwenye development ni Spaceship ambayo ni reusable. Unaenda nje ya dunia, unarudi kisha unaitumia tena. Urusi hata wauze kipande kingine cha nchi (kama walivyouza Alaska kwa Marekani, uone walivyo wapumbavu) hawawezi pata hiyo teknolojia. Kama ipo itaje, ni rocket ipi ya Urusi ni reusable iko kwenye development? Badala yake wanaendelea kutengeneza za single use na gharama zao zinakuwa kubwa sana kuliko SpaceX. Hiyo rocket iliyolipuka ilikuwa kwenye testing, ulivyo kilaza unasema SpaceX wanawaiga Warusi, unawezaje kuiga mtu kitu ambacho hajui na hana? Urusi kitu kama hiki akipate wapi
Nchi hata kutengeneza magari mpaka ipewe components na Renault au Volkswagen ndio uje kujitapa nayo hapa kisa inatoa components za rockets za Marekani. Waache kutoa hizo components wafirisi makampuni yao na tuone kama Marekani haitofanya kazi zake, China aitishe Marekani sawa, ila Urusi inayoshindana nafasi ya kiuchumi na South Korea ambaye kalelewa kiuchumi na Marekani inapataje kulinganisha na Marekani?
2. Success rate ya Falcon 9 rocket ya SpaceX ni 99.2%, rocket gani ya Urusi ina success rate kubwa hivi? Itaje, si unasema Warusi wana rocket za uhakika.
3. SpaceX Falcon 9 inaweza beba tani 53, Boeing wana rocket inaweza beba tani zaidi ya 20. Urusi wana Soyuz wanairingia sana na kuiona ya kipekee inabeba hata tani moja haifiki😂. Huwa inaishia kubeba watu watatu na kurudisha uchafu kutoka ISS.
4. Falcon 9 imerushwa mara 61 mwaka jana, hiyo ni kampuni moja. Bado kuna Boeing, NASA, kampuni ya Jeff Bezos na wengine. Sasa wewe taja idadi ya rocket launches za ROSCOSMOS peke yake tuone kama zinafika hata za SpaceX.
Ulivyo na upotofu unadai Warusi ndio wanajua rockets peke yao. Hizi kazi za kina nani?