Recent content by Gaganiga

  1. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania Tegeta high school those days

    Wale wanangu wa Tegeta high school ni Pm nikutumie mahela ila nini nataka nifanye party jangwani sea breeze wale wote wa Tegeta high school na majobless tukutane jangwani sea breeze pale kawe,Tegeta high school 🔥
  2. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania ITV na Star TV acheni udini

    Hivi inakuaje TV ambao wakristo na waislamu wanaingalia kutwa kupiga nyimbo za injili hii sahihi kweli? Yaani kila siku Saa kumi na mbili asubuhi ITV na startv wao nyimbo za injili tu huuu si ubaguzi huu jameni? Mbaya zaidi kwenye taarifa za habari au vipindi vyao watangazaji wao wanawafosi...
  3. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania Huyu chawa anapenda kukinanga sana Chama chetu. Anaishi kwa uchawa usio na mashiko

    Chadema wizi unawasumbua
  4. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania Kuna dini inawafanyia 'brain wash' washirika wake kila mwisho na mwanzo wa mwaka

    Unaficha nini? Hiyo ni dini ya ukristo full stop
  5. Gaganiga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekasirika kuitwa malaya

    😆
  6. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

    Nifichie wapi
  7. Gaganiga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baby soma huu Uzi

    Kabisa 😃 😀
  8. Gaganiga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baby soma huu Uzi

    Eeeeeh?
  9. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

    Ameumaliza mwendo mtetezi wa mashoga
  10. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

    Mtetezi wa mashoga ameumaliza mwendo
  11. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

    N Ndiyo huyo huyo
  12. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

    Nitapeleka ombi makao makuu ya katoliki duniani Vatican ili pope benedict xvi azikwe Tanzania mkoani wa shinyanga wilaya ya kishapu kijiji cha maganzo kwani shinyanga ni mmoja wa mkoa wa Tanzania wenye waumini wengi wa dhehebu la katoliki na ukizingatia Rafik yake mkubwa Kardinal rugambwa...
  13. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania Vatican: Papa Francis asema hali ya Papa Benedict XVI ni mbaya, aomba watu wamwombee

    Mark x inaishiwa mafuta soon! Wakristo msimalze machozi very soon
  14. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania Lini CCM itatoka madarakani?

    Nakutamani balaa ❤ 😍 💖
  15. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania Lini CCM itatoka madarakani?

    Hivi ccm inaweza kutoka madarakani? na kama ikitoka ni lini? Nakili kusema ccm kuitoa kupitia Sanduku la maoni tusahau na tusifikiri hata kidogo yaani sio leo wala kesho kwa ccm hii kutoka madarakani. Kwanza itatokaje? Na kivipi yaani? Kama Rais pia ni mwenekiti wa Chama hapo kuna kutoka...
Back
Top Bottom