Recent content by gabylovestech

  1. G

    Bilion 2 za content creators ningefanya nini?

    “You don’t change youths by giving them money You change them by giving them access.” Nitatoa uchambuzi na ushauri wangu kwa uzoefu wangu ONLINE, je hiki kitu kina manufaa?. Faida na hasara zake ni nini? Tufanyeje? Taarifa ya TCRA inasema watumiaji wa intaneti (ama subscribers) wameongezeka...
  2. G

    Vijana wawili walitoka 0 mpaka utajiri wa TSh 1.95 trilioni kwa BIASHARA ya KINYOZI.

    Washkaji wawili waliingia KINYOZI kama wateja… wakaondoka kama founders wa IDEA ya Mamilioni ya Dollar. startup kubwa huanza na swali dogo. Kwa hawa wahuni wawili Songe LaRon na Dave Salvant, swali lilikuwa: “Kwa nini kukata nywele inakua ngumu kuliko kusafiri na Uber?” Mwaka 2015, waliamua...
  3. G

    ACHA KU-INSTALL SOFTWARE KILA MARA UKIPATA COMPUTER NYINGINE/MPYA

    Huna haja ya kuinstall software kila PC Ama kama kila mara ku-install software ukibadilisha computer, Hata nikiazima PC ya mtu huwa natumia software zangu kama zilivyo Kuna life hack ya techies wengi ni PORTABLE APPS Portable Apps ni nini?shuka na hii article PORTABLE APPS Ni version za...
  4. G

    Nisapoti.com Mkombozi kwa Content Creators Tanzania

    So kila siku nimekua nikipata zile “bro unajua sana” nakukubali sana , bro unajua blah blah… Lakini ukweli ni kwamba it takes a lot kuwa consistent kushare #MadiniYaGaby. Na si mimi tu — hii story ni ya kila creator anayejaribu kusukuma content consistently. Wazungu kwenye YouTube na socials...
  5. G

    Wafanyabiashara Mtandaoni Kujisajili Ndani ya Mwezi mmoja. Faida na hasara zake ni nini? Tufanyeje?

    1. Kwanza ni-declare Interest, Mi ni moja ya wanufaika wa Internet. Nimejiajiri kupitia internet na cycle yangu kubwa ni hawa influencers, freelancers, content creators, advertisers, etc. 2. Pili lazima tukubali Kodi ndio inaendesha uchumi wa nchi yoyote Ile duniani. Huwezi endesha nchi bila...
  6. G

    Wanachuo, Vijana Msio na Kazi unaweza pata 5000-20,00+ kwa siku kutumia AI

    Hiki kizazi chetu kiko BLESSED na INTERNET. Na kwa mtu yeyote aliesoma hata form four na ana uwezo wa kuelewa lugha zote mbili, Kiswahili na English ana Advantage ya kupata kipato. Sio tu ONLINE hata kwenye maisha yetu ya kila siku mtaani. Kuna vijana wanasaidia makampuni kuuza bidhaa mtaani...
  7. G

    BILA KULIPIA vs KULIPIA: Artificial Intelligence(AI) TOOLS ZA BURE NIMETUMIA MWAKA 2025

    Wakuu mwaka 2025, zana za akili mnemba (AI) imechukua kasi kubwa kwenye kazi zetu za kila siku kuanzia kuandika, kutengeneza picha, hadi sauti na mawasilisho. swali kubwa linabaki: Je, ni bora kutumia tools za bure au za kulipia? Leo nakuletea tools bora Paid vs Free AI tools kwa matumizi...
  8. G

    TechBros,Freelancers Mnaweza kuwa na Productivity Setup kwa 1.5M Tu. Acheni kujipa STRESS

    Me ni freelancer kaka natengeneza contents za tech pia nina agency ya kufanya graphics, kutengeneza apps na websites
  9. G

    TechBros,Freelancers Mnaweza kuwa na Productivity Setup kwa 1.5M Tu. Acheni kujipa STRESS

    Watu wengi wanadhani Productivity ni kuwa na Setup yenye makorokoro mengi Ni vizuri ila anza kulingana na Budget yako Picha kwa Hisani ya Pinterest Mfano: nina 1.5m Naanza na👇🏾 ❍ Kiti → Budget: 200,000 TZS Facebook marketplate na IG vipo kibao Ex-UK ❍ Desk → Budget: 150,000 TZS. Chukua...
Back
Top Bottom