Tz sioni kama Kuna uhuru wa sheria na Raia wake ...sijui Ln hawa naojiita wenye nchi watajitambua ...Haki itatoka wap wakati maovu tunafichia sizana kama kweli wahusika wote watakula fyekeo la shingo...Sioni Haki kwa mtanzania wa chini
Habari zenu ndugu zangu wanajamii Forums
Natafuta day work yeyote kwenda na kurudi napatikana ukonga (DSM)
Accademic qualifications
Diploma in accounting and finance
Computer applications
Basic Diving
Simu :0764877912
HABARI YENU WAKUU,
Natafuta kazi yeyote halali ya kwenda na kurud mwenye connection please napatikana Moshi mji.
PIA NINA TAALUMA Diploma accounting &finance, b)driving Class D 3 years experienceauto & manual (certificate+licences) c)customers care 2years pamoja na matumizi computer exel na...
Dear sir/madam
Natafuta naishi dar es salaam gongo la mboto natafuta kazi yeyote au kibarua cha kuendesha maisha
a) Nina umri miaka 24
b) Sijaoa
c) Taaluma yangu accounting & finance uzoefu wangu custormer cara na sales kwa miaka 3 pia nina uzoefu wa driving miaka 4
d) Nina uwezo wa...
Habari Madam/sir
Natafuta kazi hata kibarua cha kuendesha maisha yangu.
#Ninaweza kufanya kazi yeyote tofauti na taaluma nilizonazo
a) ninaumri wa miaka 24
b)Naishi gongo la mboto DSM
c) taaluma yangu stashahada accounting&finance nina uzoefu wa customer care , sales 3yeaes
d) nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.