Recent content by gabriel mwakibinga

  1. G

    JamiiForums Tanzania Waalimu wengi wa sekondari za serikali wana ajira zaidi ya moja

    mi ninaposhangaaa ndio hapo ukiuliza utasikia elimu ndio ufunguo wa maisha,kwa stairi hii mtoto wa mkulima atenderea kulima na watoto wa vigogo watenderea kurisishwa madalaka na nyadhifa muhimu serikalini,eeee mungu tusaidie.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Aibu bungeni...elimu tanzania ni hohehahe hoja ya mbatia yahitimishwa kienyeji

    inashangaza sana inaonekana viongozi hii elimu yetu hawaipi kipaumbere,na ndio maana watoto wa vigogo wanasoma ng,ambo,sijui tumemkosea nini mungu sisi WADANGANYIKA.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

    unajua tusijisahau sisi ni waafrika,kama wazazi au mrezi wako nae angekuwa na mawazo kama,tusingefikia hapa turipo,tukumbuke tulikotoka,tujiyahidi kutoa msaada pale unapohitijika hata kama ni kidogo.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ujanja wanaotumia mapedeshee kuchukua warembo kwa ulaini, madada wa Bongo kuweni macho

    daah starehe gharama watu wangu,hiyo messeg sent kwa ware masister wauza sura habari ndiyo hiyo.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    hiyo ni sifa ya mwanaume uwe shababi mwanaume hasifiwi kura bwana
  6. G

    JamiiForums Tanzania Walichofanya juu ya Mkapa vijana wenye hasira Masasi ni ujumbe mzito kwa Kikwete

    hiyo ni kengere wale waliolala usingizi wa pono sasa wameshaamka
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kuna Kijana nimempenda ila nashindwa kumuambia.

    vuta subira mambo mazur hayataki haraka
Back
Top Bottom