Hata hivyo kama mambo mengine yana wasemaji wakuu. Kwanini Afya wanajamii wote wamekuwa wasemaji? Tunaona sasa eti Dini na siasa ndiyo wanatumbana kuhusu UVIKO na wizara ya afya na wataalam wake wamewekwa pembeni. Kisayansi ushahidi wa chwnjo zinaandaliwaje upo tatizo ni nani anayeeleza...
Na
Nadhani sasa tunaanza taratibu kuongeà lugha moja. Tuliposema elimu kuhusu HV IKO haijapelekwa na watu sahihi tulibezwa sana. Selikari yetu inapeleka elimu ya UVIKO kama matangazo na kutishia hatua zitakazochukuliwa kwa atakaeyekaidi. Hii ilitakiwa kuwa hatua ya mwisho. Kuna wahubiri leo...
Mitandao kutumika vibaya kwenye taarifa nyeti kunatokana na yafuatayo
1 - Mifumo yetu ya elimu haimuandai raia kupokea majanga ya dhalura kwa màana ya Antispation diserster attack.
2 , Viongozi wetu huwa hawataki kufanya jambo ambalo hajalitoa yeye, mathalani kama hoja ni nzuri lakini aliyeitoa...
Sisi bado tunacheza na korona kwanza barakoa sasa ni sehemu ya kipato. Ukitaka kuhakikisha hili kwanza kila fundi ni mshona barakoa, pili kila kitambaa ni mali ghafi ya barakoa, tatu washonaji hawana usimamizi wowote. Kuna jipya hapo? Kuhusu Upumuaji tulipaswa kuambiwa vifo vya ghafla...
abriel Gavu
MAPINDUZI YA KIFIKRA KWA SASA YANAHITAJIKA
NA ; - GABRIEL GAVU (BSW)
2020
Nianze na kukubali kuwa dunia ni kijiji kwa utandawazi uliopo sasa. Tunahitaji nguvu ya pamoja kuitazama dunia ya leo. Ni dunia hii ambayo naamini hakuna mpaka wa magonjwa na au matukio ila mipaka iliyopo ni...
Shida yetu ni hii. Viongozi wanatoa majibu makavu. Kama kuna wimbi la wagonjwa wasiishie kusema ni uzushi, wataje hao waliyopo wana shida gani. Pili Covidi siyo swala la kusiasa kama wataalamu wapo kwani hili hao wataalamu wasipewe nafasi ya kulisemea kuliko kuwatumia wana siasa? Imefika mahala...
1 Nimesikia baadhi ya watu kusema Mlima Kilimanjaro ni jina la kizungu (wageni). Naomba niwaelimishe kwa sehemu tu. Jina la Mlima Kilimanjaro lilitokana na neno la kichaga lililosema - Kilema Kyarwa ikimaanisha Mlima wa Ajabu/ Mlima wa Mungu, kutokana na Volikano iliyo kuwa inatoka. hayo mapokeo...
Napenda kujadiri:- Haya malumbano ya kila mmoja mwenye wadhifa kutoa matamko yake bila kuzingatia taratibu yanatokana na mamlaka kubwa wanayokabidhiwa na idadi ndogo ya watu anaowajibika kwao mteuliwa. Wazo langu ningependa katiba kwenye utawala iseme hivi:-
1 Jaji Mkuu na mwanasheria mkuu wa...
Katika jambo ambalo linatokea kwenye siasa zetu ambalo nisingependa litokee ni hawa viongozi wanaotumia nguvu ya kuwepo kwao madarakani kuwashawishi wananchi na kubadili katiba ili kuongeza mihura au vipindi vya uongozi. Leo hata kesho siwezi kumsifia kiongozi anayewania uongozi baada ya awamu...
Sijui alizingatia nini Lakini mimi ni mmoja wa wanaopinga serikali 2 na Tatu. Nataka serikali moja. Kama ASP na TANU ziliweza kuunda CCM kwanini naserikali za CCM zisiunde moja? Muungano alioutaka mwalimu ilikuwa kuunganisha nguvu ya mataifa machanga lakini sasa naona ni masilahi ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.