Recent content by G_Host

  1. G_Host

    Biashara ya refurbished/new Laptops

    Habari mkuu, najua nimechelewa kujibu hii na nimepitia thread yako na kuzisoma vizuri. Mimi ni mfanyabiashara mdogo yaani kwa kifupi ndio nataka nianze na mtajiwa mil 1. Naitaji Laptops with regular basis price. Yaani kama nikipata a piece for laki 2 nianze na hzo 5. Ushairi wa wapi ziko bei ya...
  2. G_Host

    Assistant ICT Lecturer anaitajika haraka Moshi, Kilimanjaro

    Bachelor Degree in CS/IT GPA 3.8 Mastera Degree in CS/IT GPA 4.0 Nicheki DM for more.
  3. G_Host

    Biashara ya refurbished/new Laptops

    Habari wanajamvi! Mimi ni mkazi wa moshi mjini, nataka kianzisha biashara ya kuuza laptops & desktop for both new ones and refurbished ones. Kutokana na ufinyu wa knowledge on how and where to get for cheap prices as whole sale (for starter lets say 20 pieces); ukizingatia the demand is high...
  4. G_Host

    Offer of Employement letter?

    Habari zenu wanaJF. Kwaufupi kuna ndugu yangu amebahatika kupokea barua ya offer of employment kutoka kampuni XXX inayomilikiwa na kikundi cha watu (Private) na ka-report as instructed. Ila yapita wiki 3 na nusu sasa hajapata jibu lolote zaidi ya "tutakupigia tukiwa tayari." What does this...
  5. G_Host

    Natangaza nafasi ya ajira ya uandishi wa website

    Unazarau fani za watu.. If you were serious husingedhubutu kuweka hyo min. 50k, hzo ni zarau bro!
  6. G_Host

    Natafuta mtaalamu wa kuandika Cv

    +255718599898 Mcheki huyu mtaalamu.
  7. G_Host

    Updates: Maombi ya kazi Ngorongoro Creater (NCAA)

    Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS) Matokeo ya NCAA.
  8. G_Host

    Updates: Maombi ya kazi Ngorongoro Creater (NCAA)

    Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS) Cheki hapa utayapata
  9. G_Host

    Mrejesho WFP kibondo

    Yeah. Hawa walitangaza hawamu mbili nahisi. Ngoja tusubirie!
  10. G_Host

    Mrejesho WFP kibondo

    Wana jamvi kuna yeyote ambaye kapata mrejesho wa application ya WFP post za Assistant IT Operation officer. Deadline ilikua tarehe 20 na hivi.. Mwezi wa 12 mwaka jana. Asanteni.
  11. G_Host

    Kuitwa Aptitude test BOT.

    Mkuu hii ni business analyst in IT industry, sidhani kama hayo maswali watatoa kama test.
  12. G_Host

    Kuitwa Aptitude test BOT.

    Habari wandugu, Mm nimeitwa kwenye aptitude test BOT katika post ya Business analysts. Naomba wale wenye uzoefu na hizi test wanipe angalizo zinakuaje ili niweze kujiandaa kikamilifu. Asanteni Mungu awabariki[emoji120]
Back
Top Bottom