Recent content by g_code

  1. g_code

    Wapi nitapata hizi softwares

    ukinibariki na 30K nakuachia cc 2018
  2. g_code

    Wapi nitapata hizi softwares

    kwa sasa nimesafiri kidogo sipo dar
  3. g_code

    Wapi nitapata hizi softwares

    nina adobe master collection cc 2018 22 GB but nauza mzee wangu pia nina adobe master collection cc 202 20GB
  4. g_code

    Wapi nitapata hizi softwares

    za bure au za kununua??
  5. g_code

    Application inayoweza kurekodi stock, mauzo na faida

    Quickbooks enterprise ni nzuri mno kwa hiyo kazi yako nitafute kwa nambaa hii 0652009737 tuongee ninayo yenye license kamili mkuu
  6. g_code

    Msaada wakuu nahitaji pycham pro

    Naomba msaada ambaye ana pycham Pro anisaidie nahitaji hata kama link cracked itakuwa poa tu
  7. g_code

    Darasa la Programming for beginners (Jifunze Kutengeneza Website From the Scratch)

    wadau kuweni watulivu kama mleta topic ameahidi kufundisha hili jambo inabidi muwe watulivu maana pia inahitaji muda kuandaaa ili uweze Kuelewa nini anaandika maana coding sio kama story inahitaji muda na uwelewa tuweni watulivu
  8. g_code

    Jifunze computer programming kwa kiswahili na cybergates

    bro wazo zuri sana tupo pamoja kwenye hili
  9. g_code

    Njoo nikupe msaada wa bure wa website na wordpress

    equator, Sasa nini hiii si bora ungesema hapa ili kwa yule mwingine mwenye swali kama hili apate ufahamu
Back
Top Bottom