Recent content by G Simba

  1. G

    Unataka kujikinga dhidi ya Wachawi au unataka Kuwaona?

    Nyie jamani acheni... nimejaribu moja kati ya hayo.. kilichonipataaa... sirudii milele!! Kuanzia kesho naanza kwenda kanisani na maombi. THIS IS VERY DANGEROUS!! Jamaa hadanganyi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. G

    Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

    Jamani huu udongo bado upooo? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. G

    Gazeti la Nipashe huu ni ubunifu au kutukera wasomaji?

    Jamani hamjaelewa nn? Anamaanisha anaponunua gazeti anataka kujua habari zilizotokea.. like what's hot? What's happening where? Sio mtu badala ya kukupa habari anakupa uchambuzi wa habari.. mfano ule uvamizi wa River side kenya. Mtu anamka anakuta Gazeti "sababu za magaidi kuvamia riveside" hapo...
  4. G

    Dushe langu ni below angle 30degree, maarufu kama kikunio

    I swear darling.. I'm a woman but i don't even find this shit attractive.. total Bs Sent using Jamii Forums mobile app
  5. G

    New Age: Dini mpya ya ulimwengu

    Aisee.. astral projection nilivokua nahangaika kui master had leo nimeshindwa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. G

    Nauza vitu vya ndani, na atakayetaka kununua chumba na vitu vyote pia nauza

    Ungekua karibu ningekuogesha mabusu kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  7. G

    Nauza vitu vya ndani, na atakayetaka kununua chumba na vitu vyote pia nauza

    Sio kwa mimi.. atajuta aliejibu, mie walaaa.. namfurahisha tu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. G

    Nauza vitu vya ndani, na atakayetaka kununua chumba na vitu vyote pia nauza

    Same same...Inakera mno Sent using Jamii Forums mobile app
  9. G

    Nauza vitu vya ndani, na atakayetaka kununua chumba na vitu vyote pia nauza

    Sinywi pombe. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. G

    Nauza vitu vya ndani, na atakayetaka kununua chumba na vitu vyote pia nauza

    Haidhuru.. sasa ile Tv nimeiuza 700k kamili[emoji39][emoji39] na kuchambwa kote, Sent using Jamii Forums mobile app
  11. G

    Nauza vitu vya ndani, na atakayetaka kununua chumba na vitu vyote pia nauza

    Sijaiona kweli... txt again Sent using Jamii Forums mobile app
  12. G

    Nauza vitu vya ndani, na atakayetaka kununua chumba na vitu vyote pia nauza

    We umeweka yako?? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. G

    Nauza vitu vya ndani, na atakayetaka kununua chumba na vitu vyote pia nauza

    Makubwa!![emoji849] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. G

    Nauza vitu vya ndani, na atakayetaka kununua chumba na vitu vyote pia nauza

    Songea siijui.. 27 unanizeesha, u mama leba siitambui hata harufu, napenda weusi ila sikujaliwa.. Karibu tena dear Sent using Jamii Forums mobile app
  15. G

    Nauza vitu vya ndani, na atakayetaka kununua chumba na vitu vyote pia nauza

    Niliomba ngogwe, akinipa na bamia ni kihere chake, cha muhimu mchuzi uive Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom