Hata kabla sijafungua uzi huu nilitegemea mtoa post kugusia suala la afya na na uwezo wa kusimama wa mtu lkn pia nilijua anagusia kumbukumbu ya mtu.bila shaka haya ndiyo yatakayoenda kufanyika hata ktk mdahalo na si kujadili au kuwapima wagombea.namsihi powada bora usiendewahache wskyseme lkn...
Kwanza nampa ongera mzee wa hekima na busara kwa kukataa kushiriki huo mdaharo kwa sababu zifuatazo;.1 mlengowa huo mdahalo ni kutaka kumuaibisha km walivyozoea kumuaibisha kwenye kampen zao.2hawana jipya ktk huo mdahalo isipokuwa agenda yao ccm kujadili mstakabal wa nchi bali ni kutska kuona na...
Kinachoongelewa ni kweli wewe usiyeamini, ilikuwa hivi mkuu wa mkoa mwanza bwana magesa alikutana na watumishi wa kwimba ktk shule ya sekondari NGUDU na kuanza kuwasimamisha kila idara na kuwachana na ushabiki wakisiasa hasa walimu kuwafundisha watoto siasa, mbaya zaidi hakutaka kuongelea suala...
Suala hapa si kuwaamini mawakala,tatizo ni kuwa mawakala wanatishiwa na kukazimishwa kugeuza matokeo.pili kutokuwepo watu umbali wa mita mia moja kutapelekea watu kuja na kura bandia au kujitokeza watu wasio wamitaa hiyo kuja kupiga kura,ndio maana watu wakaambiwa kukaa mita 100 hili endapo...
Wakati fulani tutumie maarifa kuliko nguvu,pia rudini shule mkajifunze kiswahili na aina za sentensi msikuluouke.lowasa kasematupeni kula za wabunge wa ccm. Nafikiri neno "tupeni" neno tupeni ndio limempa utata mtoa post. Kwa maana nyingine ni hivi sisi ukawa tuna omba mtupe kura za wabunge wa...
Talalila wewe mleta mada! Ilo la mama tegina ndo umeliona na kukukuna kichwa eti? Mbona kwa sisi tulio mwanza na wengine wanashuhudia magufuli anaongea kisukuma majukwaani km ishara ya kuomba kura kws wasukuma wenzake hilo hamlion? Km ni ukabila tangu lini ukaomba kura kwa kiruga. Ila tu lowasa...
[QUOTE=flagysyrup; NIWE WA KWANZA KUKUAMBIS MBATIA TAYAR AMEKWISHA PITA TAYARI NA YEYE NDIO MFANO WA VIONGOZI WA KUIGWA ANAYEPIGANIA HATMA YA WATANZANIA WENGI WABAOISHI KTK LINDI LA UMASKINI NA UJINGA NDIO MAANAAKAAMUA KUSUKUMA GURUDUMUVLA MABADILIKO NIKUOMBE NAWE BADILIKA HACHA KULETA USHABIKI...
[QUOTE=Kolobaa; WEWE USIE AMINI KM ELIMU BURE INAWEZEKANA NENDA UKAJIZIKE HUNA JIPYA KILA KITU WEWE UNAKATAA KUFA BASI! MIMI NASEMA ELIMU BURE TANZANIA INAWEZEKANA TENA KWA 90%
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.