Elections 2015 Mulongo anasurika kipigo, kisa Lowassa

Duuuu!!! Niaibu kutafta wanafunzi kwakazi kama hiyo badala yakuwaacha wajisomee. Elim yetu bado mbovu bado tena wanawapotezea mda wanafunz.
 
Katika hali isiyokua ya kawaida Juzi mkuu wa mkoa wa mwanza MAGESA MULONGO alifanya kikao na wakuu wa mashule wote wa jiji na ilemela cha kushangaza hakuna ajenda ata moja iliyokua ina maslahi na walimu zaidi iliwalazimisha walimu kuibeba CCM na kuhakikisha Magufuri anashinda...Kesho jumamosi tarehe 17/10/2015 Magufuri atakua Mwanza CCM KIRUMBA lakini leo wakuu wa mashule wamewatangazia wanafunzi kua waende CCM KIRUMBA kuwaona wakina DIAMOND bure na kuwaambia wale wakidato cha nne ,tano na sita kumpigia Magufuri kura...Ajabu alivyokuja LOWASSA hatukuona wakiwatangazia wanafunzi kwenda kwenye mkutano wa Lowassa...TUME ya Uchaguzi lazima ichukue hatua kali sana dhidi ya RC na wakuu wama shule wa MWANZA

Tume ipi!?, Ya huyu babu mwenye mishipa kichwani kama tumbo la nyangumi?
 
Hawa sio wakusumbua akili watu rc na walimu wakuu wanahesabika tu,ila waalimu na wanafunzi kwa wingi wao watachinja sisimu na vibaraka wao tar 25 oct
 
apigwe tu kwani tumechoka kunangwa kwa mgombea wetu tunu ya taifa hakuna namna nyingine yakumnusuru asibondwe.
 
Katika hali isiyokua ya kawaida Juzi mkuu wa mkoa wa mwanza MAGESA MULONGO alifanya kikao na wakuu wa mashule wote wa jiji na ilemela cha kushangaza hakuna ajenda ata moja iliyokua ina maslahi na walimu zaidi iliwalazimisha walimu kuibeba CCM na kuhakikisha Magufuri anashinda...Kesho jumamosi tarehe 17/10/2015 Magufuri atakua Mwanza CCM KIRUMBA lakini leo wakuu wa mashule wamewatangazia wanafunzi kua waende CCM KIRUMBA kuwaona wakina DIAMOND bure na kuwaambia wale wakidato cha nne ,tano na sita kumpigia Magufuri kura...Ajabu alivyokuja LOWASSA hatukuona wakiwatangazia wanafunzi kwenda kwenye mkutano wa Lowassa...TUME ya Uchaguzi lazima ichukue hatua kali sana dhidi ya RC na wakuu wama shule wa MWANZA

Wewe mwenyewe umeshasema hao ni walimu. Sasa kwa akili yako unatarajia vipi walimu wenye maadili wahamasishe wanafunzi wao waende kuyasikiliza matuhumiwa ya ufisadi? Hivi unajua kwamba ualimu ni kazi namba moja yenye maadili yasiyotetereka? Sasa wanafunzi wakishawasikiliza watuhumiwa wa ufisadi wakawalisha sumu wewe unadhani wakirudi shuleni kutakuwa na darasa hapo? Fikiri
 
Sio kweli,hizo ni propaganda tu,hivi ukawa mmeishiwa kiasi hicho hadi mnatafuta sehemu ya kupumulia,kweli tarehe 25lazima tuwakate ukawa ili mjue kuw watanzania tumegundua kuwa ukawa ni genge la wachumia tumbo na hamna jipya
 
Mansouri,anahonga mahela,wasukuma ni watu wa ajabu sana,wapo wanaompenda,ila pia kuna tatizo katika ukawa kwani chadema na cuf wamesimamisha wagombea,hivyo kufanya mansour kushinda bila ugumu wowote,kwimba inahitaji elimu kubwa mno ili kuikomboa,kwani mpaka muda huu lowasa hajaja kwimba,ila tunampenda na tupo pamoja mabadiliko
 
Wewe mwenyewe umeshasema hao ni walimu. Sasa kwa akili yako unatarajia vipi walimu wenye maadili wahamasishe wanafunzi wao waende kuyasikiliza matuhumiwa ya ufisadi? Hivi unajua kwamba ualimu ni kazi namba moja yenye maadili yasiyotetereka? Sasa wanafunzi wakishawasikiliza watuhumiwa wa ufisadi wakawalisha sumu wewe unadhani wakirudi shuleni kutakuwa na darasa hapo? Fikiri

Walimu wengi wa Civics wamewafanya wafunzi waichukie sisiem ya escrow akaunti vibaya mno.

Ugumu wa maisha,rushwa,dawa feki za ARV kutoka kampuni ya kada wa sisiem; kuchomewa nyavu wavuvi; kula mapanki; ukosefu wa madawati na vifaa shuleni; mauaji ya albino; michango lukuki ya shuleni; mbegu feki za pamba; ndugu na wazazi wao kubambikiwa kesi na polisisiem ...nk nk Hayo yote ndiyo yamechangia wanafunzi kuichukia sisiem.
 
Mulongo anatamba sana na polisi alituswaga ndani kule mapinga bagamoyo-ndio akateuliwa ukuu ausha alikua mkuu-wilaya ni mtu asiyeelimika
 
Kinachoongelewa ni kweli wewe usiyeamini, ilikuwa hivi mkuu wa mkoa mwanza bwana magesa alikutana na watumishi wa kwimba ktk shule ya sekondari NGUDU na kuanza kuwasimamisha kila idara na kuwachana na ushabiki wakisiasa hasa walimu kuwafundisha watoto siasa, mbaya zaidi hakutaka kuongelea suala la siasa cha hajabu yeye mkuu huyo akaanza kumnadi Magufuli kwa watumishi wampigie kura na waachane na lowasa.Baada ya kikao kuisha kuna bwana mmoja jina naliifadhi akamuuliza mkuu mbona umetukatazaa kuzungumzia siasa na wewe unatuambia tumchague magufuli?, huoni kwamba unatuchagulia mtu wa kumteua wakati kila mtu ana utashi wake na mgombeaanayempenda? kusema hivyo tuu bas mkuu huyo wa mkoa akawaamuru Mapolisi wamkamate jamaa huyo na kumweka ndani kwa masaa 48.Hiyo ndio habar ilivyokuwa kwa hiyo sio hadi waandishi wawepo ndio uamini
 
Mkuu wa mkoa wa mwanza magesa mulongo alijikuta katka hali ngumu katika kikao na watumishi wa halmashauri ya kwimba na walimu wa shule za msingi

Vurugu zilianza pale alipoanza kumnanga mgombea wa chadema na ukawa Edward lowasa

Ilidaiwa baada watumishi hao kujua hakuna agenda bali kumpigia kampeni magufuli kelele zilianza mpaka kupelekea kikao hicho kuvunjika

Baada ya hali hiyo ilisemekana mulongo aliita police na walimkamata mtumishi mmoja ambae alilala rumande
 
Ccm kwa sasa ni sikio la kufa halisikii dawa na hata wafanye nini mwaka huu lazima wafurumushwe kutoka ikulu
 
Back
Top Bottom