Recent content by G.O.A.T

  1. G

    Clouds fm haijatajwa msiba wa Albert Mangwea

    bora ye teja kuliko we taahira...
  2. G

    Clouds fm haijatajwa msiba wa Albert Mangwea

    Mawazo yako hayana tofauti na kujenga nyumba kwenye hifadhi ya barabara...anytime inabomolewa! Unatoa povu kwa pumba za ajabu
  3. G

    Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

    Ebwana umenikumbusha battle ya freestyle pale Diamond Jubilee Alichofanya Ngwair kila mtu alidhani uchawi...huyu jamaa alikuwa na kichwa cha kipekee asee RIP mfalme wa mitindo huru
  4. G

    Natafuta field attachment

    Asante Mkuu Kwa Kunitia Moyo...ubarikiwe!
  5. G

    Natafuta field attachment

    Daaa Mkuu Ina Maana Hapo Ndo Akili Zako Zilipoishia?
  6. G

    Natafuta field attachment

    Salaam wana JF! Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha, nasoma shahada ya uhasibu mwaka wa pili, natafuta sehemu ya kufanyia field! Nimekwisha peleka barua sehemu zaidi ya sita lakini kote majibu yanakuwa ndivyo sivyo! Naombeni msaada wenu kwa yeyote anayeweza kunisaidia...NTASHUKURU...
Back
Top Bottom