Recent content by G-Mania

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kivuko Magogoni ni kero

    Yani ndo tumeingia sasa hivi tunapangwa pangwa kama wachezaji mpira
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kivuko Magogoni ni kero

    Hii sasa ni kero, unapanga foleni ya gari kwa masaa manne kigamboni. Nipo hapa leo kuanzia saa nne asubuh mpaka sasa nimesogea umbali wa mita 800 tu. Kivuko kidogo pekee ndo kinafanya kazi, kubwa limepumzishwa. Na hicho kivuko kidogo hakirudi magogoni mpaka kijaze. Tunakazi ya kuona wanajeshi...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Hivi zile Scania benz za kampuni ya Azam (approximately) zinauzwa shs ngapi?

    Kweli kabisa labda utumie gari hizo kupakia mizigo yako binafsi au company yako lakini ni pasua kichwa
  4. G

    JamiiForums Tanzania Hivi zile Scania benz za kampuni ya Azam (approximately) zinauzwa shs ngapi?

    Yeah yataka moyo. TRH anazo international nyingi ila ndo wamejikita mizizi miaka mingi wale wahindi enzi hizo Biashara ilikua rahisi siku hizi Biashara hiyo imeingia mkono labda uwe na pesa za Escrow
  5. G

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kutumia Yahoo account ni aibu na hatari kwa usalama wa Taifa letu

    Mkubwa naona hujanielewa vizuri. Kwanza mimi sipo CCM. Pili ninachozungumzia ni taasisi kama taasisi ya raisi na utendaji wao katika swala la uchukuzi
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hivi zile Scania benz za kampuni ya Azam (approximately) zinauzwa shs ngapi?

    Mkubwa nenda kacheki tena hana international hata moja. Ile unayoiona ni Volvo VNL 12 470 mpaka 500 Horse power from america convetional cabin.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kutumia Yahoo account ni aibu na hatari kwa usalama wa Taifa letu

    Ndo kama nilivyosema mkuu, hao watendaji wanaweza wakawa wa level fulani. Kwa sababu piga picha kama anatumia anuani ya barua pepe yenye domain ya serikali ambayo iko exposed sasa kwa umma. Huweza ikawa ni rahisi kwa hackers kufanya mashambulizi ya server hizo ambazo zenye confidential information
  8. G

    JamiiForums Tanzania Hivi zile Scania benz za kampuni ya Azam (approximately) zinauzwa shs ngapi?

    Mkuu habari Hizo trucks ni mpya bana. Hizo Volvo FH 2014, Volvo FMx all hizo ni latest series from volvo latest technology. Pia anazo Volvo FH na FM ya former series brand new. Mercedes Benz Actros alizokua nazo ni brand new but of former edition in the series. Scania anazo brand new both...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kutumia Yahoo account ni aibu na hatari kwa usalama wa Taifa letu

    Habari Mimi naamini hii anuani ya barua pepe inayotolewa katika kuwasiliana na raisi si ya kwake ila ni "Decoy Mail" ambayo inatumiwa na watumishi wa karibu au washauri wa serikali ama raisi. Anuani ya barua pepe ya raisi lazima itakua "very highly confidential and strictly to selected high...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Ni kweli, labda ameghadhibika kama sehemu ya binadamu.
  11. G

    JamiiForums Tanzania O/D OFF icon in Automatic cars

    Hello picchu, si lazima uzime O/D ukiwa kwenye matope au michanga. Just shift ur lever to L au 2 hapo u will limit ur gears to low au first gear au second gear kama ni 2. Muda mwingine unaweza kuona very steep hill and tires are slipping u cn limit ur gears to L or 2 to make it crawl depend on...
  12. G

    JamiiForums Tanzania O/D OFF icon in Automatic cars

    Overdrive is the final gear of that gearbox. Simply when u see that O/D OFF it means your maximum speed it below the final drive. For instance if your car is 5speed gearbox automatic transmission, it means when the O/D OFF light is on then you will drive up to 4th gear. The theory is true if...
Back
Top Bottom