Hii sasa ni kero, unapanga foleni ya gari kwa masaa manne kigamboni. Nipo hapa leo kuanzia saa nne asubuh mpaka sasa nimesogea umbali wa mita 800 tu.
Kivuko kidogo pekee ndo kinafanya kazi, kubwa limepumzishwa. Na hicho kivuko kidogo hakirudi magogoni mpaka kijaze. Tunakazi ya kuona wanajeshi tu wanapita utasema kuna vita wanakimbilia au Emergency. Anakuja mdogo wake naye anapita, mjuu wake naye anapita wote hawapangi foleni.