Recent content by fuu xkuz

  1. fuu xkuz

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

    Sio shekhe huyo ni kada mtiifu mbogamboga Nahapo alikuwa anawasilisha maagizo ya wakubwa zake kiaina tu.
  2. fuu xkuz

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Hii vipi boss
  3. fuu xkuz

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Chek pm mkuu
  4. fuu xkuz

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mwenye used tcl [emoji[emoji2390][emoji[emoji2390]391]9[emoji2390]][emoji[emoji2390]391] smart nahtaji
  5. fuu xkuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watumiaji wa iphone: Iphone x yangu imeanza kustack kama techno nifanyaje?? na haina app nyingi wala

    Iphone x haipokei ios 18. Simu zitakazo support ios 18 ni Xs, Xr na matoleo yajuu yake.
  6. fuu xkuz

    JamiiForums Tanzania Fursa madereva post 514 utumishi

    400+
  7. fuu xkuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu unatumia menu gani? Kupata hilo bando
  8. fuu xkuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kama huna matumizi nayo tena niuzie mimi nihangaike nayo inawezekana eneo nililopo ikanipa kilicho bora[emoji3]
  9. fuu xkuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Jaman hali ya ticketi sio nzuri tulioko dar tununue ticket za Siku ya wananchi
  10. fuu xkuz

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Hii bado ipo?
  11. fuu xkuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Hakuna timu yenye fixture nyepesi kwenye hao top 3…awe city,livarpool wala arseanal wote fixture imebana..atakaechanga karata zake vema annyanyua kwapa
  12. fuu xkuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nichek inbox nataka gb 5
  13. fuu xkuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hii timu inalaana ya ronaldo sio bure
  14. fuu xkuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hii nikwasimu zote? Namaanisha hata wa IOS wanaweza tumia hii huduma?
  15. fuu xkuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga yaingia top 5 ya tuzo za club Africa CAF

    Mabango mawili tu povu na chuki kiasi hiki,yangewekwa nchi nzima kama walivokusudia sungeua fans wa yanga unaopishana nao mtaani?..manake macgapisho yako yote humu huyan hoja ya devaluate yanga kwenye hiyo orodha zaidi yachuki zako binafsi kwa timu?
Back
Top Bottom