Recent content by Futota

 1. Futota

  Je mgao wa umeme umeshaanza tena?

  Yaani huu mgao ni nomer, hata Kimara, Mbezi ya Kimara, Ubungo kila Jmosi ni mgao...kulikoni????
 2. Futota

  House4Rent 3 bedroom house at Sinza uzuri

  Nitakupigia shukrani
 3. Futota

  House4Rent 3 bedroom house at Sinza uzuri

  Poa mkuu, karibu sana, unitumie PM nikupe namba za simu za kuwasiliana upate kufika kuikagua nyumba
 4. Futota

  House4Rent 3 bedroom house at Sinza uzuri

  Ni PM mkuu, no sweat, rent is negotiable
 5. Futota

  House4Rent 3 bedroom house at Sinza uzuri

  BRAND NEW HOUSE, 3 BDRMS, 3 BATHROOMS, CLOSE TO MAIN ROAD- MOROGORO ROAD, SO VERY CLOSE TO MWENDO-KASI PUBLIC BUSES. RENT 500,000/MONTH (NEGOTIABLE) PAYABLE ONE YEAR IN ADVANCE. RELIABLE WATER SOURCE FROM DAWASCO AND A WELL WITH 7000 LTRS STORAGE TANKS. SAFE WITH "SUNGUSUNGU" NEIGHBORHOOD...
 6. Futota

  Natafuta fundi mbao

  Hello wakuu JF Natafuta fundi stadi wa mbao, tufanye kazi ya kutengeneza kwa kutumia mbao ya mninga au mkongo, kitchen cabinets pia kazi ya ku design walk-in-closet kwa kuweka shelves, drawers, hangers n.k. Tafadhali uni PM. Kazi ipo Dar
 7. Futota

  Wauza smartphone tukutane hapa

  Hello wakuu wa JF, Ninauza brand new cell phone HUAWEI MATE 8, hii ni model Huawei NXT-L29, Champagne gold color, 64GB storage, 4GB RAM bei, million moja unusu tu. Ni PM kama upo mnunuzi wa kweli
 8. Futota

  Natafuta Contractor/Civil engineer kwa Mkataba wa Ujenzi wa nyumba

  Hello Mkuu, safi sana kazi ya uchimbaji visima, nimeona Youtube videos. Sasa kama unaweza kunitumia kwa private message jina lako kikamilifu, simu namba au directions za ofisini. Shukran!
 9. Futota

  Natafuta Contractor/Civil engineer kwa Mkataba wa Ujenzi wa nyumba

  Sina mchoro, nina mkopo wa benki na eneo. pia nina ka idea ka floor plan ila engineer ndio anatakiwa aone tujadili.
 10. Futota

  Natafuta Contractor/Civil engineer kwa Mkataba wa Ujenzi wa nyumba

  Hi Ndugu, sina mchoro, nina eneo na mkopo wa benki.
 11. Futota

  Natafuta Contractor/Civil engineer kwa Mkataba wa Ujenzi wa nyumba

  Jamani kama wewe ni contractor au civil engineer mwenye kampuni, basi tuwasiliane kwa Private message,tuongee biashara na kuingia mkataba wa ujenzi wa nyumba ya kuishi (1) na kuweka utilities....maji ya kisima na umeme wa Tanesco, ujenzi katika kipindi cha miezi 6 hadi mwaka 1. Ideally, malipo...
 12. Futota

  Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

  Kabisa, Free Mange kimambi Lowerly. anasema ukweli, watu,hawapendi..
 13. Futota

  Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

  Shukrani mkuu, maana clearing agent anakuja na mabei naona anataka niliache gari bandarini.
 14. Futota

  Ali Kiba amfunika Shilole show yake ya USA

  Kweli kabisa nimehesabu hao watu waliohudhuria katika hizo picha..... hakika hawazidi thelathini! Hakika mleta mada wala hajakosea LOL
 15. Futota

  Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

  Asante sana mkuu kwa majibu mahususi, sasa kidogo mwanga umeanza kuonekana mbele.... Clearing agent wangu ananidai ati USD 200 kwa gharama za Delivery order??? wakati ka gari kenyewe ni kadogo kwa engine 0.66litres. Halafu ati handling charges kachanganya na storage charges....hivi kwa ka gari...
Top Bottom