Gen - Z kweli hamna adabu, yaani kisa nini kutukalisha sisi baba zenu mama zenu majumbani ? kweli nyie watoto? Watoto wa afu mbili mnatutesa ivi?
Hebu acheni basi hii tabia jamani.....hivi mimi wa kula Pilau na kushushia Sprite kweli ? Mimi wa kuangalia marudio ya Kombolela ?
Aaah jamani...
Kipindi cha Mbowe walisema CDM ni Sako yake, Oohh CDM ya wachaga - leo ati Heche anaiba hela zachama hawa hawana jipya wamebanwa kila kona kudadeq -
Msako ni kila kona Je Mtatoaaaaa hamtoiiiii ......
Hela ya Abdul ipo kazini - nategemea this week tupate vi clip vingi vya kusema Heche anakula hela ya chama, ni LAZIMA kina Abudul wafanye hivyo maana hawana namna nyingine tena.
Wanajaribu pia kuwanunua wajumbe wa Kamati Kuu - wacha tuone kama wataweza kupata hata robo ili waitikise CDM.
Hela...
Chama cha siasa kilichopo ni CDM na uzuri 80% ya watanzania wanakipenda... CCM ni maiti inayotembea.
Nuru inakuja watanzania Mungu tayari kashasikia kilio chetu - damu zilimwagika bila hatia zinafanya kazi....
Majibu yashaanza tayari.... vilio na miguno vishaanza kwa hao mafirauni.
Kama unasoma na ujuzi ama weredi unaoupata katika majarida unakusaidia kutoboa kimaisha safi endelea lakini kama ni tofauti basi huna tofauti yoyote na sisi ambao lazima tupitie bar kuchangamsha ubongo kila siku jioni huku tukipata mziki kwa mbaliii
Tume feki
Report feki
Maanuzi feki.
Watanganyika wanataka Taifa lao, kuifuta CDM si suruhu ya Watanganyika kusahau kudai haki zao.
Naona wanahangaika sana kama mtetea na yai la kwanza.
Hili Zee hili limejidhalilisha, heshima yote ishakwisha.
Lishaingia kwenye kundi la mizee ya HOVYO.
Lishapoteza credibility, yaani kwa sasa ni Zigo aka Liability aka fuko la kinyesi posta mpya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.