Mwigulu: Kutekwa kwa Djumbe ni Michezo na haijaanza Jana

Huyu amechanganyikwa. Mwigulu ni mmojawapo wa wanasiasa wa hovyo sana katika taifa hili.
Unakumbuka alivyosema Msingizia Alfred Lwakatare kwamba ni mtekaji? Akasema ana ushahidi kuanzia mbinguni hadi duniani? Tangia pale namuonaga hana akili wala Utu
 
Kuna wakati aliwahi kusema CHADEMA ndio wanalipua mabomu, huyu alifaa kuwa mwenezi wa CCM tu ila sio kiongozi wa kitaifa wa kuunganisha na kuongoza watu.
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.

"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.

Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingu.

Hii ni ajenda maalum. Hii ni michezo. Hii ni michezo.

Na hii michezo haijaanza jana. Hii ni michezo haijaanza jana kwa Tanzania, tuamke! Hizi ni ajenda za watu wenye akili wanaolitafuta taifa letu. Ni ajenda za watu wenye akili, hii sio mpuzi mpuzi tu hivi."
Dah huyu baba Kila siku anazidi kujidhalilisha 😅😅😅😅😅
 
Lincoln once said "better remain silent and be thought a fool than to speak and remove all doubts"
 
Kwahiyo mnajua ni michezo na mmetulia tu watanzania waendelee kuteseka na kuuawa? Hebu tuambie ni kwanini tuwaamini kuwa mnaweza kuwalinda watanzania na mali zao?

🚮🚮🚮🚮
Wameamua kuchezewa na watu wanaowafahamu, huku wananchi wao wakiendelea kuumizwa na kutekwa
 
Nilishasema na ninarudia Tena... Michezo ya kutekana haitaisha Leo..

Serikali ndio mnufaika wa michezo hii na hakuna utayari wa kukomesha hii michezo

Kumbuka nukuu zifuatazo
- Kutekana ni drama by Kizimkazi
-Kutekana ni michezo by Madelu

Kwa kauli hizo ...tembea kwa tahadhari muda huu Mafwele kafurahi mpaka utumbo mpana umemcheza kwa shangwe
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.

"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.

Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingu.

Hii ni ajenda maalum. Hii ni michezo. Hii ni michezo.

Na hii michezo haijaanza jana. Hii ni michezo haijaanza jana kwa Tanzania, tuamke! Hizi ni ajenda za watu wenye akili wanaolitafuta taifa letu. Ni ajenda za watu wenye akili, hii sio mpuzi mpuzi tu hivi."
Sema katika mawaziri wakuu waliowahi kuhudumu hiyo nafasi, kiukweli huyu wa sasa hajui kuongea hata kidogo. Haelewekagi yani. Hoja hawezi hata kuitetea, anaongeaongea mpangilio unaoeleweka.
 
Mwigulu unavianika vyombo vya usalama na kuwaeleza Watanzania jambo

1. Kwa mujibu wa Macha, RCO mkoa wa Pwani alimtaarifu akachukue gari. Alipataje habari
2. RCO kanda Maalum alimwambia NK Mkuu CHADEMA, '' hizo pingu ni ngumu'' alijuaje ana pingu
3. RCO alisema Djumbe ni mtuhumiwa! hapa anathibitisha kwamba Polisi wanamtafuta
4. Ikiwa Djumbe anafanya maigizo na Pingu kwanini hajafunguliwa mashtaka?
5. Ikiwa Macha anatoa ushahidi wa uongo kwanini hajafunguliwa mashtaka
6. Hivi ni kwa bei gani mtu anaweza kuruhusu kichwa chake kivurugwe namna ile kwa michezo tu

Kuna sababu zilizobaki za kutoamini tukio na wahusika!

Hawa akina Nchemba wanasema watakavyo kwasababu hayajawasibu.
Muulizeni Nape na Hussein Bashe. Hawa wakisema kinachotokea ni maigizo wengi tutaamini wanachosema!
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.

"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.

Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingu.

Hii ni ajenda maalum. Hii ni michezo. Hii ni michezo.

Na hii michezo haijaanza jana. Hii ni michezo haijaanza jana kwa Tanzania, tuamke! Hizi ni ajenda za watu wenye akili wanaolitafuta taifa letu. Ni ajenda za watu wenye akili, hii sio mpuzi mpuzi tu hivi."
Empty head
 
Utaahira si lazima mpaka ulazwe milembe !!
Unaweza kuwa taahira bila ww kujijua, ni hatari na ni aibu kubwa.
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.

"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.

Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingu.

Hii ni ajenda maalum. Hii ni michezo. Hii ni michezo.

Na hii michezo haijaanza jana. Hii ni michezo haijaanza jana kwa Tanzania, tuamke! Hizi ni ajenda za watu wenye akili wanaolitafuta taifa letu. Ni ajenda za watu wenye akili, hii sio mpuzi mpuzi tu hivi."
Inawezekanaje PM asielewe ukweli wa jambo hili?

Funguo za pingu zilitoka ofisi gani kumfungua mateka?

Kwa hiyo mabeberu wasiolitakia mema taifa letu ndiyo wapo nyuma ya mchezo?

Unajua inatia hasira kuona kiongozi mkubwa kama huyu wa kiserikali akibwabwaja utopolo!

Kwa nini hawataki kushusha hasira za taifa hata kwa kuigiza wanajali?

Kwa kweli hawa walishatuona raia wa Tz ni mazwazwa na wapumbaf wa mwisho.
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.

"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.

Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingu.

Hii ni ajenda maalum. Hii ni michezo. Hii ni michezo.

Na hii michezo haijaanza jana. Hii ni michezo haijaanza jana kwa Tanzania, tuamke! Hizi ni ajenda za watu wenye akili wanaolitafuta taifa letu. Ni ajenda za watu wenye akili, hii sio mpuzi mpuzi tu hivi."

Sasa kama ni mchezo kwa nini wanashindwa kuudhibiti? Yaani watu wanatekwa na kuuawa yeye anadai ni mchezo. Lama ni mchezo si basi wawarusishe Polepole na Mdude tujue kama ni mchezo. Bora tu angenyamaza kuliko kuja na maneno ya kihuni kiasi hiki.
 
Nipo sehemu nimekaa na kada mtiifu wa CCM....ameniambia kwa kauli ya PM ameona aibu..
Kasema Bora angekaa kimya...na kuwaachia msala Polisi ...kwa kawaida yao ya kusema uchunguzi unafanyika basii
 
Back
Top Bottom