Recent content by FurtherOfTheSun

  1. F

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe past papers za comb ya ECA

    Nashukuru sana ndugu Umenisaidia pakubwa
  2. F

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe past papers za comb ya ECA

    Nashukuru sana ndugu Umenisaidia pakubwa
  3. F

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe past papers za comb ya ECA

    Msaada wanataaluma wa past papers za ECA Nitashukuru sana nikifanikiwa namba yangu ya Whatsapp nitakutumia inbox ukihitaji kunisaidia
  4. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa Wanafunzi UDSM: Wanafunzi wa Vyuo tutamchagua Samia

    Mkuu nadhani Kuna ujumbe unataka kusema😀
  5. F

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuanza kuvuna pilipili Novemba wanunuzi jitokezeni

    Nashukuru ndugu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuanza kuvuna pilipili Novemba wanunuzi jitokezeni

    kama huli kitimoto huwezi elewa umuhimu wa pilipili na raha yake
  7. F

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuanza kuvuna pilipili Novemba wanunuzi jitokezeni

    kama huli kitimoto huwezi elewa umuhimu wa pilipili na raha yake
  8. F

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuanza kuvuna pilipili Novemba wanunuzi jitokezeni

    Pilipili mbuzi maarufu kama mwendokasi
  9. F

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuanza kuvuna pilipili Novemba wanunuzi jitokezeni

    Sijui soko la Sasa la pilipili like ila ningependa kujua ili nilinganishe na wakati huo pilipili ikishakuwa tayari Hivyo naombeni kujuzwa soko lake likoje yaani pilipili inauzwaje kuanzia kipimo cha chini hadi gunia na aliye tayari afanye booking ili tuje kufanya biashara
  10. F

    JamiiForums Tanzania Vitabu vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja vyakamatwa Tabora

    Walioharibikiwa hupenda wengine nao waharibikiwe
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kama uko Dodoma niuzie PC yako inisadie kwenye shughuli zangu

    Weka picha na specifications
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kama uko Dodoma niuzie PC yako inisadie kwenye shughuli zangu

    Nina uhitaji na PC kama uko Dom una PC umeichoka ila ni nzima na nzuri niuzie kwa bei ya kitanzania ya kulia lia nami inisogeze kwenye mambo yangu Fanya kama unanisaidia
  13. F

    JamiiForums Tanzania Masada wa joining instructions form ya Arusha sekondari

    Greats, this is urgent I need your help please 🙏
  14. F

    JamiiForums Tanzania Masada wa joining instructions form ya Arusha sekondari

    Mpwa wangu amefaulia Arusha sekondari Nina shida na soft copy ya joining instruction form kwa ajili ya maandalizi
Back
Top Bottom