Tunakoelekea yatatokea kama Misri,maana Bunge sasa si watetezi wa WANYONGE bali wakanadamizaji,nasikia mpaka sasa WACHEZAJI wa mpira wa miguu hawalipi kodi huku wanapokea malaki ya pesa,Nafikiri kodi sio kitu kibaya bali kwanini wengine walipe wengine wanaendelea kula bata? Pia na wasiwasi kodi...
Daaaaaaaaaa hii kali huo ulinzi ni wa ajabu,lakini kitu gani cha muhimu anachofata Obama Tanzania? heeeeeeeeee...TANZANITE...TANZANITE............heeeeeeeeeeeee 09.12.1960
Ni ukweli ulinzi wetu upo chini kwasababu technolojia yote imetoka kwao sisi si wagunduzi bali watu wa kupokea tu,elimu yetu haituwezeshi kuwa wagunduzi VIONGOZI amkeni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.