Serikali haitekelezi sera za chama moja kwa moja, bali inafanya kazi kwa kufuata sheria, kanuni, taratibu au sera za serikali. Chama kinachounda serikali kina nafasi ya kuingiza sera zake katika seheria, kanuni na taratibu za kiserikali ili ziweze kutekelezwa na watumishi wa serikali. Serikali...