.Ukiimbwa unaweza fikiri ni wa kwetu kwa kuwa unaimbwa kwa kiswahili. ila ukipigwa utatambua kuwa ni wa South. Kama Taifa tumeiga utambulisho wa taifa, kwa vipi tushangae wasanii wakiiga filamu na nyimbo za nje, vijana na mavazi na tamaduni za wenzetu, life style ya kimashariki au magharibi n.k.