Recent content by Fundi waya

  1. F

    Nahitaji Mtu mwenye Post Gradute ya CBE Supply Chain

    Habari wana bodi, Kama una kijana nahitaji awe na PGD ya Supply Chain preferable from CBE. Anichek PM nimpe email atume CV urgent.
  2. F

    Ninahisi mwana anafanya shughuli haramu

    True say bro, ila kwa sasa mashoga wameongezeka sana na wengine ni wazee kabisa.
  3. F

    Huu ukatili kwa watoto sijui hatma yake ni wapi. Nini kifanyike ili kudhibiti hili janga?

    Watu waambiwe ukweri kuwa utajiri sio kitu rahisi na hakipatikani kupitia uchawi.
  4. F

    Ninahisi mwana anafanya shughuli haramu

    Hajamla, ni Mwanangu hawezi nificha huyo boss anaishi hizi nyumba za GSM zipo pale round about ya Whitesands. Jambo lingine alimuuliza kama anaeza pata demu alafu aende nae kwenye apartment amchakate mbususu yeye akiwa anaangilia. Anasema anakuwa na Furaha akiona mwanaume anachakata mbususu...
  5. F

    Ninahisi mwana anafanya shughuli haramu

    Kuna jamaa anaitwa X alienda kampuni maarufu ya kuuza mafuta kuomba kazi, alipofika pale head of HR ni Muarabu akamwambia mwana yupo tayari kumpa apartment Masaki na kumnunulia Forester ila anataka awe anamkaza. Yaani Boss ni Choko na analiwa kisamvu. Mwana kanionesha mpaka text zake. Na toka...
  6. F

    Nimeshinda kituo cha polisi leo baada ya huyu mkaka (Bonge) Kuzimia wakati tunafanya tendo la ndoa

    Hii nchi mpaka ifikie level za wenzetu huko kimaendeleo bado sanaa. Vijana kila kukicha wanachakata makinikia.
  7. F

    Wife kanifuma nimo kwenye group za Malaya wanaojiuza Telegram. Wenye uzoefu jinsi ya kumaliza hii issue

    Kuna wainga washajiunga tayari. Poa mwana we endelea kupiga pesa.
  8. F

    Ni meamua kum-block wife kwenye line zake sa simu zote na Facebook

    Mkuu pole sana, hiyo ndio shida ya kuoa standard 7 drop off. Angekuwa na biashara au kaajiriwa somewhere wewe ndo ungetamani umpigie kira muda. Ila Pole mze wangu inakata stimu.
  9. F

    Hawa mbuzi wanaozagaa maeneo ya Mbezi Tangibovu ni wa Serikali?

    Mkuu hao sio mbuzi ni watu bob, wengi huwa wametolewa kafala na wafanyabiashara na wanasiasa. Na waliwatoa kafala wapo kwenye hizo mansions za Mbezi Beach. Ndio maana huwezi kuwakuta Temeke hao au Chanika. N serikali inafahamu na wenye hao mandondocha huwa wanawajua hali mara kwa mara.
  10. F

    Na hizi ndio 20 Tv series kali of all the time

    Mkuu inaonekana wewe husomi kila kitu, ni wale vilaza mnasoma juu na chini. 24 kaweka hapo sasa akushukuru vipi? Watanzania mna shida ya afya ya akili.
  11. F

    Ni hatua gani za kuchukua iwapo hakuna maelewano kwenye ndoa?

    Sawa Mkuu ila kumbuka kumpenda shemeji hao wanawake wana akili nyingi kuliko wanaume ndio maana mkaambiwa muishi nao kwa akili.
  12. F

    Ni hatua gani za kuchukua iwapo hakuna maelewano kwenye ndoa?

    Botom line, ukiamua kuoa mpende mkeo period. Hayo mambo sijui mkitupata wakati tushapiga sana makofi ya makalio hayana mpango. Love your wife thy love yourself. Upo kwenye ndoa lakini kutwa unashinda Bar.
  13. F

    Ni hatua gani za kuchukua iwapo hakuna maelewano kwenye ndoa?

    Haina shida Kunguru ila wake zenu tunawapunguza sana stress. Mkioa tulieni na ndoa zenu na muwapende wake zenu.
  14. F

    Ni hatua gani za kuchukua iwapo hakuna maelewano kwenye ndoa?

    Sikia Anna nikupe ushauri, Katika ndoa kuna mambo mengi na Furaha huwa unatakiwa utengenezee wewe Mwenyewe. Tatizo mkiingia katika ndoa unategemea mwenzako ndo awe chanzo cha wewe kuwa na Furaha. Your totally wrong. Mfano hapo umesema mumeo hakupi tendo la ndoa maana yake yeye sasa kuna sehemu...
Back
Top Bottom