Recent content by Fundi kipara

  1. Fundi kipara

    Barcelona na Real Madrid ni Timu za wanachama kunachosumbua Simba na Yanga ni umasikini na ukosefu wa mipango thabiti

    Huu Uzi Ufutwe Hauna Maana Yeyote Aisee...!! Alieandika Kashiba Mihogo Tu Haelewi Kaandika Aisee Watu wa Nchi Katika Football Wanataka Furaha Ambayo ni Matokeo ya Match Tu Nasio Hayo Unayosema Wewe....!! Hakuna Mwekezaji Atakuja Kuwekeza Sehem ili Apate Hasara Tu Nasio Faida...!! Mwekezaji...
  2. Fundi kipara

    PreGE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

    Mkuu Kama Unawaza Maisha ya Wajumbe Hao wa CCM Kwamba Ndio Yameishia Hapa Basi Tambua Kua Wewe ni Miongoni mwa Watu MlioFail..!! Hupaswi Hata Kubet Mike kama Yako Itapasuka Vibaya Mno...!! Elewa Kua Misingi ya Watu Hao Yamejengwa na Chama Ambacho ni CCM Tegemea Lolote Kua Wana sehem Yao...
  3. Fundi kipara

    Msaada wa tiba ya maumivu ya kiuno

    Mkuu Mimi ni Muhanga wa Kiuno Upande wa Nyuma Nisaidie io Dawa ya Asili..!!
  4. Fundi kipara

    Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Pepo la Ngono Ni Baya Sana Lenyewe Huchagua Kukuzuia Usipate Madem ili Uwe Unaishi Nalo Wewe tu
  5. Fundi kipara

    Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Aaah Ata Mie Nimeacha Tu Ataejitokeza Kunipenda Basi Ntaishi Nae Tu
  6. Fundi kipara

    Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Huu Mkosi Aisee Ila Kwa Wanaume Mabahiri Wataona ni Bahati
  7. Fundi kipara

    Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Mkuu We Acha Huenda Tuliletwa Tuwe Watazamaji Tu 😂
  8. Fundi kipara

    Nahisi GSM na Hersi wana nia mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ukweli wote huu hapa

    Soma Tena Mchumba Angu. Naamini Umekurupuka I'm Yanga Fam
  9. Fundi kipara

    Nahisi GSM na Hersi wana nia mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ukweli wote huu hapa

    As-Salaam Alaykum (Peace Be Unto You) Natumai Hamjambo Na Mko Vyema Karibuni Sana Katika Uzi Huu. Ukituskiza Vizuri Mashabiki wa Yanga Tukiwa Tunaongelea Mpira, Hasa Timu Yetu Wallah Nakuapia Tunakeraaa Sie na Ujichanganye Kusikiliza interview za Coach GAMONDI ambaye ungependa kusikia...
  10. Fundi kipara

    Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    Mkuu Hii Gari Hua Nikikuta Imeegeshwa (Parking) Sehemu Hua Naona Aibu Kueka Harrier Yangu Naona Nieke Mbali au Nijifanye Nimeeka Car Wash Ikoshwe Kumbe Aibu Tu..!! 😂😂😂 Mungu Anipe Wepesi Miaka Si Mingi Namie Ntanunua Walau Hii Nifanye ata Mkopo wa Bank😂🙌
  11. Fundi kipara

    Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    Alhamdulilah Imenichukua Miaka 27 Hapa Duniani Kumiliki Gari Yangu Mwenyewe (Harrier) Tena Bila Mkopo wowote Wala Sio Zawadi Ati Nilipewa na Mtu...!! Wallah Kua na Gari ni Raha Sana Tena Yenye Hadhi Sina Uzee Wowote ni Kijana Mdogo wala Sina Pesa Nyingi ila Kudra Zake Mola Kanijalia Hiki...
  12. Fundi kipara

    Mamelodi hawawezi kuwatoa yanga

    Chambua...!!
  13. Fundi kipara

    Mamelodi hawawezi kuwatoa yanga

    Mkuu Unapaswa Kua Nabii Wewe Aisee Ulijuaje Kama Leo Kuna Sare ya 0-0 Naanza Kuamini Hii Nyuzi Yako Hapa Jamvini
Back
Top Bottom