Recent content by Fumbokhan

  1. Fumbokhan

    JamiiForums Tanzania Kevin De Bruyne Aongeza mkataba wa kubaki Manchester City

    Kevin De Bruyne amemaliza dili la kusaini mkataba wake mpya wa kuendelea kubaki katika kikosi cha Manchester City chini ya kocha Pep Guardiola ambapo mkataba wake ameongeza hadi ifikapo April 2025
  2. Fumbokhan

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz amtaja Q-Chief kama msanii wake wa Bongo Fleva wa muda wote

    siku ya jana msanii diamondplatnumz alijikuta akisikiliza na kutazama ngoma za zamani kutoka kwa msanii Qchief. Iko wazi kuwa Qchief ni msanii pendwa wa diamondplatnumz na hilo mpaka sasa bado halijabadilika,DIAMOND kupitia instastory yake siku ya jana ameendelea kusisitiza kwa kusema kuwa Q...
  3. Fumbokhan

    JamiiForums Tanzania Caren Simba (mzazi mwenzake na Baraka Da Prince) afunguka hivi

    Caren Simba ambaye ni mzazi mwenzie Baraka The Prince afunguka: "Mimi na Barakah tumekuwa kwa muda mrefu ila aliyekuwa anajulikana ni Naj, wakati yeye yupo na Naj mimi nilikuwa na ujauzito wake na tukaachana kwa sababu ya huyo Naj, sikuwa mchepuko bali ni mwanamke wake kabisa, hatukuwa tayari...
  4. Fumbokhan

    JamiiForums Tanzania Paula anaweza kutumia urembo wake kama sehemu ya kujitengenezea future

    Ukiachana na mengine, Paula bado anaweza kusimamiwa vizuri akawa anaingiza pesa huku akiwa bado anaendelea na shule. Mitandao haiharibu mtu ikiwa amepata muongozo mzuri wa kuitumia na asipopata muongozo mzuri inaweza kumharibu sababu watu wengi mitandaoni wanapendana pia kuona na kufurahia mtu...
  5. Fumbokhan

    JamiiForums Tanzania Star mkubwa Marekani (Safaree) ajuta kuingia kwenye ndoa

    Upo sahihi mzeeh [emoji1787][emoji1787]
  6. Fumbokhan

    JamiiForums Tanzania Priyanka Chopra: Star mkubwa Indiana Hollywood afunguka kuhusu ndoa yake

    Priyanka Chopra(38) amesema yeye na mumewe Nick Jonas(28) bado hawana mtoto sababu yupo busy sana na kazi kutokana na mikataba aliyosaini hivyo inakuwa ngumu kwake kubeba mimba kwasasa lakini muda sahihi ukifika atabeba mimba kwakuwa yeye na Nick wana lengo la kuanzisha familia. Priyanka...
  7. Fumbokhan

    JamiiForums Tanzania Star mkubwa Marekani (Safaree) ajuta kuingia kwenye ndoa

    Safaree mwanamuziki maarufu wa hip hop Marekani ameibuka kusema kuwa moja ya makosa makubwa aliyowahi kuyafanya katika maisha yake ni kuingia kwenye ndoa, amesema haitatokea yeye kuoa tena na kwasasa ameamua kuchukua njia yake kabla hajaishia jela Safaree alimuoa mrembo Erica Mena pichani...
Back
Top Bottom