Star mkubwa Marekani (Safaree) ajuta kuingia kwenye ndoa

Fumbokhan

Member
Jan 16, 2021
6
20
Safaree mwanamuziki maarufu wa hip hop Marekani ameibuka kusema kuwa moja ya makosa makubwa aliyowahi kuyafanya katika maisha yake ni kuingia kwenye ndoa, amesema haitatokea yeye kuoa tena na kwasasa ameamua kuchukua njia yake kabla hajaishia jela

Safaree alimuoa mrembo Erica Mena pichani mwishoni mwa 2019 na wamepata mtoto mmoja

Kabla, Safaree aliwahi kuwa kwenye mahusiano na Nicki Minaj kwa miaka kadhaa


IMG_0868.jpg
 
Back
Top Bottom