Recent content by Fumbo Khan

  1. Fumbo Khan

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yakanusha alichosema Halima Mdee na Wenzie 18. Yasisitiza Uamuzi wa kuwavua uanachama unapaswa kuzingatiwa na mamlaka

    Aiseee mnatuchanganya sana yan Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  2. Fumbo Khan

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mrembo ajiua kisa mapenzi

    Mdada huyo wa S.Africa ambaye kitaaluma ni mhandisi na tayari ana kazi, amejiua kisa mapenzi. Kabla ya kujiua aliibukia Facebook kumtuhumu boyfriend wake. Anasema alijitoa sana kwa mwanaume husika lakini akaishia kuharibiwa maisha yake na jamaa. Aliongeza kuwa mwanaume huyo alisababisha awe kama...
  3. Fumbo Khan

    JamiiForums Tanzania Kumbe wanaotumia ARVs ni ngumu kuambukiza wengine

    [emoji23][emoji23]jaribu huo moto uone
  4. Fumbo Khan

    JamiiForums Tanzania HARMONIZE ATOA KIJIMBE INSTAGRAM.

    Msanii Harmonize baada ya kudondosha muziki wake wa USHAMBA amekuwa akiweka post mbali mbali zikiashilia kama kijembe na kujawa na majigambo kuhusu wimbo wake huo hii hapa chini ni miongoni mwa kijembe alicho kirusha huko INSTAGRAM.
  5. Fumbo Khan

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

    Diamond platinum ndio msanii wa kwanza Tanzania kufikisha viewers 2.3M ndani ya Masaa machache(21 hours) katika platform ya youtube kupitia wimbo wake wa waah!!, wimbo wake howa Diamond Amemshirikisha msanii wa nchi ya Congo ajulikanae kwa jina la Koffi Olamide.
Back
Top Bottom