Shida ya kubwa ya watanzania wenzetu wanaoenda South Africa ni kujiunga na makundi ya uharifu na kuchukukua madem za watu.
Nature ya wanaume wa kizulu ni kupenda starehe(pombe) uvivu na hivyo kupelekea kuwa tegemezi kwa wanawake zao.Kutokana na kukithiri kwa ulevi inapelekea parfomance dhaifu...
Ni hivi mkuu, huyu Manara last press aliyoitisha alisema yeye bado msemaji halali
Wa Yanga… na leo kupanda jukwaani na kuwatambulisha wachezaji wa yanga ni kwamba anauthibitishia umma kwamba yeye bado msemaji wa Yanga.Ni dharau ya hali ya juu
Mbaya zaidi hapo uwanjani kuna mawaziri na viongozi...
Hicho kisiwa kipo mkuu! kinaitwa Sinda.Watu huwa wanaenda kuspend weekendwakitokea hapo Slipway na wengine wakitokea beach za kigamboni kama vile Barracuda,Southbeach n.k
Shida sijui ni Ubunifu au wanashindwa kujiongez!
We kweli wametengezeza banda kubwa kwa ajili ya namba kumbwa ya abiria,then eti wash room ya choo kidogo wameweka kimoja na kikubwa kimoja???
Ahsante mkuu, kwa kuongezea sasa hivi namba ya Kondoo kule(ngorongoro) ni kubwa sana zaidi ya ng'ombe na mbuzi.Kondoo anakula nyasi mpaka mizizi na hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira.
Namba ya kondoo ni kubwa kwa sababu bei yake sokoni imechangamka.
Hizo habari za "kuunga mkono wamasai wauwawe na mwarabu" ndio uzandiki wenyewe. Iko wazi kwamba Namba ya watu na mifugo imeongezeka so inaathiri ecologia ya eneo husika! Mbaya zaidi wameanza kufuga na kondoo ambao wanakula mpaka mizizi, ambao huko Maasai mara mnakatazaaa kabisa kuingiza kondoo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.