Recent content by fukara haswaa

  1. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna uzito wa mashairi kama yangu uliotokea katika taifa hili – Afande Sele

    Namkubali sana afande...kiukweli kizaz cha kuanzia mwaka 2000...wamekosa ving sna..
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna uzito wa mashairi kama yangu uliotokea katika taifa hili – Afande Sele

    wasanii tunashangaa...ukiinuka sisi tunakaa...ukipotea kwetu furaha...adui muombee njaa...noma sanaa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mtaji mdogo wa milioni moja ilihali sina ndugu wa kunisaidia

    soko lilifurika bei ikashuka...plus madalali...kuja kupiga mahesabu..nikajikuta napanda nilichovuna bila kujitosheleza (-ve)
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mtaji mdogo wa milioni moja ilihali sina ndugu wa kunisaidia

    Yaan mil moja ukatupe kwenye matikiti...nililima yakanikomesha haswaa...nikapata stress mpaka nikawa navushwa barabara ya vumbi na watoto wadogo..hata kuyala nikaacha kabisaa...jaribu lakin...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Masikini tunalindwa sana na Mungu

    sizan mkuu...ni kweli nimepigika haswaa...ID ina uwalisia wake kabisa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Masikini tunalindwa sana na Mungu

    ucjal mkuu..
  7. F

    JamiiForums Tanzania Masikini tunalindwa sana na Mungu

    Dah mkuu...nataman sna nikujibu...lakin ni story ndefu kidogo....niamin tu nilichoandika...kwa sasa nipo ktk majanga..
  8. F

    JamiiForums Tanzania Masikini tunalindwa sana na Mungu

    kula yangu ni ya shida sana...tokea mwaka umeanza nimeandamwa na majanga yaliyo nizidi uwezo, sina furaha, mwili unadhohofika kwa njaa, mawazo kila saa...huu uzi mpaka nahisi unanihusu mim...kwa kweli naelekea kukata tamaa..
  9. F

    JamiiForums Tanzania Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

    mpaka na mim nijirudishie mabomu niliyopigwa na maji ya kuwasha washa...ndio niwalipe...tena nipange kiasi cha kuwapa...kama walivyopanga wao kiasi cha kunipa...dhuluma sitak mim
  10. F

    JamiiForums Tanzania Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

    Hata mia mbovu sina...yaan ukinidai...naweza nikakusachi...nimepigika haswaa...hapa nawaza kukimbia Tz
Back
Top Bottom