Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,983
- 11,794
kijiji gani hicho unakula mara moja kwa siku? labda upareni. vijiji vyakula viko vingi waweza kula hata mara 4 kwa siku?
Ushawahi kukaa kijijini?
kijiji gani hicho unakula mara moja kwa siku? labda upareni. vijiji vyakula viko vingi waweza kula hata mara 4 kwa siku?
ucjal mkuu..Pambana mkuu
kula yangu ni ya shida sana...tokea mwaka umeanza nimeandamwa na majanga yaliyo nizidi uwezo, sina furaha, mwili unadhohofika kwa njaa, mawazo kila saa...huu uzi mpaka nahisi unanihusu mim...kwa kweli naelekea kukata tamaa..
kijiji gani ulichokulia wewe kitaje kwanza ?? isije ikawa sehemu zenye ukame na kwa Tanzania sehemu zenye ukame ni chache sana usilete habar ya kijingakwa bahati mbaya hujakaa vijijini ila unasikiliza hadithi za vijiweni, usiombe yakukute
hakuna kitu kama hicho cha mlo mmoja mnapeana habar za uongo watu wa kijijini wanaongoza kwa kula chakula bora elewa hivyoUshawahi kukaa kijijini?
hakuna kitu kama hicho cha mlo mmoja mnapeana habar za uongo watu wa kijijini wanaongoza kwa kula chakula bora elewa hivyo
Huyu atakua yupo Somaliakijiji gani hicho unakula mara moja kwa siku? labda upareni. vijiji vyakula viko vingi waweza kula hata mara 4 kwa siku?
Nadhani kuna mtu unataka kumlenga.Watu wote wanalindwa na Mungu, Hakuna anayelindwa na pesa,jeshi au sijui nn
sizan mkuu...ni kweli nimepigika haswaa...ID ina uwalisia wake kabisa...Shida ni hiyo jina unayotumia
Hahahahah mkuu unaugomvi na kina mshana Jrkijiji gani hicho unakula mara moja kwa siku? labda upareni. vijiji vyakula viko vingi waweza kula hata mara 4 kwa siku?
Mtu muovu halindwi na Mungu mkuu,unless mtu huyo Mungu ana mpango na yeye.It's only by chance that an evil man survives.Maisha ya uovu ni maisha ya kutisha sana.Watu wote wanalindwa na Mungu, Hakuna anayelindwa na pesa,jeshi au sijui nn
Usikate tamaa mkuu.There is a God out there who cares for you.kula yangu ni ya shida sana...tokea mwaka umeanza nimeandamwa na majanga yaliyo nizidi uwezo, sina furaha, mwili unadhohofika kwa njaa, mawazo kila saa...huu uzi mpaka nahisi unanihusu mim...kwa kweli naelekea kukata tamaa..
Huu ndio uhalisia kweli kweli, nasapotiUshawahi kukaa kijijini?
Achana na stori za mitandaoni na vijiweni.
Kwanza asilimia kubwa ya maisha ya kijijini asubuhi hakuna kifungua kinywa, asilimia kubwa kuanzia saa sita/saba ndio watu wanapata mlo hadi saa mbili usiku baada ya hapo ni kesho tena mchana.........familia chache ndio zinapata uji mkavu asubuhi......Maisha ya kijiji yasikie tu......wewe hujiulizi kwanini watu wengi wakitoka bush kuja town ndio wananawiri.
Kama huwa mnaenda kutembea tu vijijini mnachinjiwa kuku msione ndio maisha ya kila siku.
kwakuwa nimeyapitia.Sasa mbona umekufamungu amekulinda pia
Usimkufuru Mungu ya bando umepata wapi mpaka ukakoment? Mwenye afya dhoofu anapata na muda wa kukoment?kula yangu ni ya shida sana...tokea mwaka umeanza nimeandamwa na majanga yaliyo nizidi uwezo, sina furaha, mwili unadhohofika kwa njaa, mawazo kila saa...huu uzi mpaka nahisi unanihusu mim...kwa kweli naelekea kukata tamaa..