Recent content by frontline7

  1. frontline7

    "PESA ZA DILI"

    Kwa mantiki hii na namna kila mtu anavyolia basi itakua kila pahala hela ya dili ilitawala. Nyumba za ibada, ikulu, bungeni, hospitalini, shuleni, kazini na hata mitaani.
  2. frontline7

    "PESA ZA DILI"

    Sakasaka Mao usinihukumu. Elimu ninayo yakutosha. Mimi ninahoji tu, pia nataka kila mtu kwa nafasi yake alitafsiri hili neno "pesa za dili" kama kweli nchi ilikua ikiendeshwa na pesa hizi, vipi sasa hadi bibi kizee kule kijijini analalamika hali imekua ngumu? Au nae alikua yupo kwenye dili...
  3. frontline7

    "PESA ZA DILI"

    Wadau mimi nahoji hili... Kama "pesa za dili" ziliwawezesha wazazi kuwapeleka watoto wao shule, kulipia pango la nyumba, kulisha familia, kupata huduma za afya, kulipa kodi za serikali, kujenga pamoja na mengine mengi; kwanini basi serikali imeamua kuwanyang'anya watu wake "pesa za dili" na...
  4. frontline7

    Je, ni nani haswa Wanatafutwa JamiiForums?

    You spoke my mind. Nina maswali kama haya pia. Watu waache kutetea jeshi la polisi na kuliamini sana maana kufanya hivyo ni kujizuia kufikiri nnje ya box.
  5. frontline7

    Polisi na vita dhidi ya faragha za watumiaji wa mtandao

    Hoja yangu ya msingi kabisa hapa ni suala la uhuru wa kutumia mitandao ya kijamii (kiusahihi) na uhakika wa kulindwa privacy yako ili uendelee kua salama. Huoni kama wachache wenye nguvu ya kuipindisha sheria wanaweza kulitumia jeshi la polisi vibaya pale hujuma zao zinapowekwa wazi na...
  6. frontline7

    Polisi na vita dhidi ya faragha za watumiaji wa mtandao

    Vipi kama mtumiaji ametumia mtandao huu kutoa taarifa za uhakika ambazo zilikua pengine zinahujumu maendeleo ya nchi, na ameona mahala pekee salama pa kutoa taarifa hizi ni hapa mtandaoni, akatokea tu mtu mwenye nguvu ya kulitumia vibaya jeshi la polisi (labda kiongozi wa kisiasa) kwa manufaa...
  7. frontline7

    Polisi na vita dhidi ya faragha za watumiaji wa mtandao

    Na Mexence mello wa jamii forums kukamwatwa na kunyimwa dhamana kisa kutulinda sisi nalo tulione kama intimidation?
  8. frontline7

    Polisi na vita dhidi ya faragha za watumiaji wa mtandao

    Inabidi tu utafute namna ya kuyaelewa ili uepuke kutiwa nguvuni lakini kubwa zaidi upate kujua haki na wajibu wako katika kutumia mitandao ya kijamii na mtandao kwa ujumla.
  9. frontline7

    Polisi na vita dhidi ya faragha za watumiaji wa mtandao

    Tunahitaji kujifinza zaidi kutoka kwao. Kwa mfano suala la whatsapp kuongezwa privacy security (end-end encryption) zilikua ni jitihada za kuthamini na kulinda usiri wa mtumiaji ili kumpa uhuru wa kutumia mtandao wao. Pia kuna kipindi apple walikataa kuwasaidia wapelelezi wa marekani kudukua...
  10. frontline7

    Polisi na vita dhidi ya faragha za watumiaji wa mtandao

    Umesahau kua mifano ya watu uliowataja wana influence kubwa na social backing ni kubwa sana ukilinganisha na hawa tunaowazungumzia (mimi na wewe).
  11. frontline7

    Polisi na vita dhidi ya faragha za watumiaji wa mtandao

    Umenitoa Gizani issue kubwa si username tu bali usiri na faragha aliyonayo mtu. Polisi kutaka kudukua na kuingilia privacy ya mtu ili kutafuta namna ya kumtia mtu huyu nguvuni huoni kama kutahatarisha uhuru wa kupeana habari? Sheria ya habari ndo hii tumeipigia kelele sana na sasa imeanza...
  12. frontline7

    Polisi na vita dhidi ya faragha za watumiaji wa mtandao

    Sasa hali imeanza kuwa mbaya zaidi baada ya kuona mapambano ya polisi na wamiliki/watumiaji wa mitandao ya kijamii yakizidi kupamba moto. Kitendo cha jeshi la polisi kutaka I.P adress na usernames za watumiaji wa mitandao ya kijamii kwa lazima kutoka kwa waendeshaji wa mitandao hii ni kuvunja...
  13. frontline7

    Warning signs you should not take that job offer

    From time to time, all of us go looking for a new job. In fact, if you're a Millennial,researchers say you'll have 15 to 20 different jobs over the course of your lifetime. Regardless of which generation you're a part of, according to Approved Index, there are certain warning signs that should...
  14. frontline7

    Matokeo ya kidato cha pili ya mwanafunzi aliyeshambuliwa na walimu

    This is nonsense too. Amekidhalilisha vipi chuo sasa. Chuo ndo kilimtuma akachukue video ya walim wakimsulubisha mwanafunzi? It is nonsense because student went crazy, teachers went crazier!! Wakati wanajua maadili ya kazi.
  15. frontline7

    Kero kuhusu UDOM Social Science

    NJALI hizo nazo ni sababu. Kuna wakati huwa mpaka walinzi wanakua wanawaropokea wanafunzi tu kama wanaongea na watoto wadogo. Tutaendelea kupambana nao mpaka waelewe kua hii ni elimu ya juu. Ila lengo langu lilikua ni watu wajue hali ilivyo.
Back
Top Bottom