Jamani wakuu,
Naombeni mnisaidie: Dawa ambayo hutumiwa na watu wenye vidonda vya tumbo aina ya Zosec (Omeprazole) ina madhara yoyote kwa mjamzito?
Kama yapo, ni yapi?
Naomben kujuzwa n nn knasababsha mimba kuwa kubwa haraka au kuonekana mapema tofauti na umbile la mtu, namaanisha labda kuna vyakula vnasababsha. Naomben msaada wenu
Naimani mungu amewatangulia kwa cku ya leo, mimi nina swali eti n kwanini watu wengine mimba zao huwa znakua haraka na wengine hata huwa hazionekan, je ni sababu gani inakuwa hvo na n vitu gan ambavyo vnasababisha mimba kukua haraka na je kati ya mtu mwembamba na mnene n yupi mimba yake...
yan ni upuuz mtupu eti asiwajibshwe mpaka amalize muda wake wa uongoz eti na kuusu nguvu ya rais ndani ya mahakama cjackia wanaizungumzia au me nmechela
yani me watanzania wananikera kitu kimoja tu hawana msimamo huyu anamsifia chenge kwa lipi sasa kama co danganya toto tu! Basi tuwe tunathink big kidogo basi jamani da!
nadhan walisema kuwa UKAWA walitoka bungen bila ruhusa ya spika so hawana hio haki au me nlielewa vbaya na akasema mpaka wamwombe spika ndio mwenye uwezo wa kuwapa ruhusa ya kupiga kura au la!
Habari za jumapili wanajamvi,
Naomba niende mojakwa moja kwenye mada. Nina rafiki yangu alipoanza kuingia period akiwa kidato cha 2 alikuwa anaingia siku 4 hadi 5 but sasa hivi yupo kidato cha sita na anaingia period siku moja au mbili. Je, hili ni tatizo au ni kawaida na kama ni tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.