Recent content by frolian mwebesa Jr

  1. frolian mwebesa Jr

    Kuhusu zte k 3772z vodacom moderms

    Thanks how can i pay by using dsm unlocker
  2. frolian mwebesa Jr

    Mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria yako pale pale

    jaman ruvu tmekula kzi nyie kipindi hiki acheni tuh
  3. frolian mwebesa Jr

    Kuhusu zte k 3772z vodacom moderms

    Wadau ninashida moja kama kuna mtu anafahamu jinsi ya ku-unlock hii moderm ya vodacom, naombeni basi anijulishe maana nimeshatumia njia nyingi sana na bado sijafanikiiwa, naombeni msaada wenu wadau ma-IT managers please!
  4. frolian mwebesa Jr

    Mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria yako pale pale

    Jamani naombeni nifahamishwe kama suala la jeshi kwa kidato cha sita mwaka huu lipo mujibu wa sheria JKT maana naona wizara ya ulinzi imekaa kimya mpaka sasa na haijatoa majina na mwisho wa mtihani ya kidato cha sita ni tareh 21 mwez wa tano wiki ijayo kama una taarifa yoyote naomba unijulishie....?
  5. frolian mwebesa Jr

    Naombeni mnifahamishe kuhusu kozi za Afya

    Jamani naombeni mnifahamishe Eti application za clinical officers zinaanza lini maana nimetembelea sana NACTE lakini naona hamna kitu. Naombeni mwenye information zozote kuhusu hilo anipatie. Ahsante!
  6. frolian mwebesa Jr

    Anayefahamu vyuo vizuri vyenye kozi ya clinical officer

    jaman naombeni nifahamishwe kuwa hiv vyuo vya serikali vinavyotoa kozi ya CLINICAL OFFICER nivi ngapi na mnaweza kunitajia au naweza nikavipata link gani na pia O level anaweza kuaply katika vyuo hivyo vya serikali na akapata.....na an apply vipi au kupitia wap...????
  7. frolian mwebesa Jr

    Kidato cha nne anaweza kusoma kozi ya clinical officers ?

    nakuhusu kulipa ni serikali inakusomesha au wew mwenyew private ndo unajigharamia...???
  8. frolian mwebesa Jr

    Kidato cha nne anaweza kusoma kozi ya clinical officers ?

    jaman asanteni saan kwa kunielewesha sasa tunaweza kuanza kufuatilia kwa ukaribu lakin bado nahitaji saan maoni yenu na naomba msisite pale nitakapokuwa nikiwaulia. KWAHIYO ANAWEZA KUPELEKWA CHUO CHA SERIKALI NA VYUO VYA SERIKALI VIANVYOTOA KOZI YA CRINICAL OFFICERS NITAVIPATIA WAP....?????
  9. frolian mwebesa Jr

    Kidato cha nne anaweza kusoma kozi ya clinical officers ?

    Jaman samahanini naomba nieleweshe hiv kuwa hivi kidato cha nne anaweza kwenda kusomea clinical officers katika vyuo vya serikali na application zao zimekaa vipi jee unaaplaia chuoni au una apply wizarani na ni mda gani wanaanza kuapply naombeni nieleweshwe na kuhusu matokeo yake yuko na...
  10. frolian mwebesa Jr

    Necta form 6 wa mwezi wa 3 au 5

    Jaman kunauvumi ambao umesambaa kuwa necta ya form 6 inaweza kuwa mwezi wa tatu au wa tano kama baraza la mithihani walivyotoa ratiba yao hapo awali hivyo nilikuwa naomba nipate uhahika kuwa jeeh nikwel kuwa necta ya form 6 imerudishwa nyuma na unatakiwa ifanyike march ilikupisha shughuli...
  11. frolian mwebesa Jr

    Eti hospitali ya Mwananyamala kuna chuo?

    Asante kwa kunifaamisha kaka saambovu
  12. frolian mwebesa Jr

    Eti hospitali ya Mwananyamala kuna chuo?

    Jaman nilikuwa ninaomba nijuulishwe na wana jf kuwa eti hospitali ya mwananyamala daresalaam wanatoa shahada ya utabibu (udaktari ) yaan bachelor of doctor of madecine kama unafaahamu naomba unifaamishe tafadhari...
  13. frolian mwebesa Jr

    Vijana tunamtaka Ngeleja 2015

    Jimbon kwenyew sengerema hakuna alichokifanya leo nchiiiii!!!! Hahahaha.......
  14. frolian mwebesa Jr

    Francisco Kimasa Shejamabu wapi watu wa Sengerema tumekukumbuka

    Jaman watu wa sengerema mimi nilitaka kujua hivi mngombea ubunge kwa tiketi ya ccm mwaka 2010 yuko wapi make tumemkumbuka saana kwa sera zake nzuri!!!! Mh FRANCISCO KIMASA SHEJABU huu ni wakati wake teena tunamtaka wanasengerema!!!! Au mnasemajeeeeh!! Mimi nilikuwa naona lakin kuwa avue gamba...
Back
Top Bottom