Naomba unisaidie kushare Kwa Wadau wa usafirishaji na madereva. Mimi naomba kutembea na mtu kwenye gari hasa magari makubwa ili nipate uzoefu barabarani Nina lessen daraja D. Naishi Kiluvya-Pwani. Nipo tayari kujituma na kufanya kazi atakazo. Mawasiliano yangu
Email. farajanh53@gmail.com
Kuna shule ya Serikari ipo wilaya ya Ubungo wanafunzi wa kidato Cha 4 wanaenda shule kipindi hiki Cha likizo na lazima uende la elfu1 kulipia mtihani na Kila siku
Kwa Wadau wa usafirishaji na madereva. Mimi naomba kutembea na mtu kwenye gari hasa magari makubwa ili nipate uzoefu barabarani Nina lessen daraja D. Naishi Kiluvya-Pwani.
Nipo tayari kujituma na kufanya kazi atakazo nipa. Mawasiliano yangu
Email. farajanh53@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.