miaka 14 ni mtoto ata kama ni kinadharia na sio kisheria kama hutaki oa au ozesha mtoto wa miaka tajwa ndo utajua sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
kitu ni mali ya taifa walengwa waliamini watatendewa haki pale walipo enda kutafuta haki husiswa kituoni je wajua walipewa msaada gani... polisi walirespond vipi kwa tukio tajwa... as l knw likitokea tatizo tutakimbilia polisi tyuuuuu so kusema kwamba anaweza kuwa hatari kwa taifa naamini huwezi...
kwani uyo aliyepo amefanya nini nq wewe unataka ufanyiwe nini.... binafsi yangu naitaji utawala bora uliotukuka ili mateso wayapatayo wananchi ibaki stori
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo ni fraha kwenu bint kabadili dini kamfata mumewe asa ikitokea bint wa kiislam kamfata mumewe mkristo familia zinawatenga kweli muwamba ngoma uvutia kwake ila waislam mnapaswa jua mwanamke hana dini.............
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
haijalishi nini kimekukuta ama ugum upi unaupata katika maisha ila amini bado unanafasi katika jamiii, familia na mbele za muumba wako don give up coz mungu hamtupi mti mwenye dhamira ya kweli
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
nakumbuka nilienda DUCe kwenye interviw mwaka jana mwezi wa kumi wakati natoka home niliandaa bahasha mbili moja inavyeti original nyingine copy.... the bad thing nikabeba copy kwa bahati mbaya sikuju, nimekuja kujua nipo kwenye foleni ya kuingia kwenye chumba cha mtihani Mungu wangu ntafanyaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.