Recent content by frictional

  1. F

    JamiiForums Tanzania Haya wale wa second round Mambo tayari

    Jamani m mbona sioni changes yoyote. Kwa second round nliofanya.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ntawezaje kuajiriwa nje ya nchi kama Dr.

    Habarini wana JF. Nina ndoto za kuishi nje ya nchi, lakini kuna vitu vinanikatisha tamaa. 1.nkimaliza degree yangu ya Dr hapa Tanzania, naweza pata ajira nje ya nchi au laah.? 2.ni vigezo gani niwe navyo ili niweze ajiriwa nje ya nchi.? 3.Ni kweli kwamba ukisoma katika chuo kikuu cha...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wale wa IFM tukutane hapa...

    IFM ndo kitu gani mbona siijui? mna discuss vitu ambavyo wengine tunavisikia leo.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nursing vs medical laboratory technology.

    Naomba kuuliza wana jf kati ya hizi kozi mbili ni ipi iko vizuri kimaslahi.?Naombeni wenu ushauri wana JF.
  5. F

    JamiiForums Tanzania UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

    Upo bachelor of arts with education. Jackson Wambura marwa.
  6. F

    JamiiForums Tanzania TCU!! Ni kweli priority tano tunazochagua mnazifanyia kazi?

    degree ndo nliomba mimi ni form six PCB.
  7. F

    JamiiForums Tanzania TCU!! Ni kweli priority tano tunazochagua mnazifanyia kazi?

    usipo fanya second round uruhusiwi kufanya transfer. Kwa hiyo lazima uwe umechagua chuo kwa awamu ya pili ndo uombe kuhama chuo.
  8. F

    JamiiForums Tanzania TCU!! Ni kweli priority tano tunazochagua mnazifanyia kazi?

    Fisheries iliombwa na watu 340. Chuo kiliitaji watu 50 tu. Kwa nini nafasi zinabaki na mtu umeomba ukanyimwa then second round unaikuta. Na nafasi zinakua zaidi ya kumi.
  9. F

    JamiiForums Tanzania TCU!! Ni kweli priority tano tunazochagua mnazifanyia kazi?

    Si kweli #mwaj !! Interior design chuo kiitaji watu 30. Walioomba first priority 9 Second priority 13 Third priority 12. Fourth priority 11 Fifth priority 8 Jumla watu 53. Si rahisi kukosa !! Swali kwa mini kozi aikujaa na imeombwa na watu 53? !!
  10. F

    JamiiForums Tanzania TCU!! Ni kweli priority tano tunazochagua mnazifanyia kazi?

    Wanajamvi Nmefanya application juzi TCU , ila nmekosa chuo. Nmesoma PCB nna point sita yaani phys D chem B na biol C. Mpangilio wangu wa vyuo ulikuwa hivi. 1.maabara (muhas) 2.environmental science and management (ardhi) 3.interior design (ardhi) 4.food science (udsm) 5.fisheries (udsm) Ila cha...
  11. F

    JamiiForums Tanzania HESLB acheni kuwavumilia hawa watu 7787

    Kuna jamaa angu alikosea mwaka Jana akwenda heslb.Chuo akapangwa UDSM education na mkopo akapewa kama kawaida.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini inatokea hii?

    Phone numbers ndo mpango mzima.
  13. F

    JamiiForums Tanzania IMTU imeruhusiwa kudahili?

    Nimerudi tena kaka zangu, great thinkers. Nimekiona chuo cha imtu kipindi nafanya application. Naomba kuuliza hivi kimeshafunguliwa au bado.? Kwa maana naona watu wamekiomba!!
  14. F

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Asante kaka bugando niiweke ya ngapi? Vp hiyo ya muhas?
  15. F

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Nimepangilia hivi. 1 medcn kairuk. 2 maabara muhas. 3 env engnrng ardhi. 4. Food science 5 fisheries udsm Niondoe kipi hapo. Naomba ushauri!
Back
Top Bottom