TCU!! Ni kweli priority tano tunazochagua mnazifanyia kazi?

Tulia we mwanamke... soma post yake vizuri ndo u comment unawahi wap??
Asa kama kuna waliostaili kupata hyo nafasi yake mbona hawakupewa?? Anaikuta tena kwenye systeam??
So yeye tuu imetoke kwa wengi. Kama huna vigezo ukichagua 2nd round coz haiingii. Na pale hamna competition maana coz ikishajaa inatoka.
U got that?

ishia hapo hapo nitulie eeeeh, mmmh watu hawatulizwi kirahisi hivo usione id ukasema jinsia
 
Daaa! Nooma sana big TCU this tme kuna nini!? Inamana wanasoma distinction tu!? Meritorious zote chali why!? Mwaka Jana merit hawakutemwa bhana. ......nauliza usipoomba second round nakuacha waz kwa kuwa kozi zote zilizobaki night arts nawe ni mwana PUB na umefaulu kwa merit yap mwanzo je, itakuwaje make wengine tumekata tamaa kabisa na chuo. ...mtu una pambana advance unaibuka na kitu chamaana bt unatemwa ( above 3 GPA) .....naomba mawazo kama nikiacha make da am lost now ndugu zangu
 
Nenda clinical medicine
 
usipo fanya second round uruhusiwi kufanya transfer.
Kwa hiyo lazima uwe umechagua chuo kwa awamu ya pili ndo uombe kuhama chuo.
 
usipo fanya second round uruhusiwi kufanya transfer.

mkuu transfer ni kutoka chuo kimoja unaenda kingine, sasa utafanyaje transfer hauna chuo? Mwaka jana walivyoruhusu walisema wamefungua baada ya kuona watu weng wanataka kuhama walipo, unachosema sidhan kama kinawezekana labda kwa kuomba nafas chuoni af upeleke barua tcu watume jina hii sijawah kuskia imewezekana ila ata kama ipo haitakuwa transfer tena.
 
Wanajamvi Nmefanya application juzi TCU , ila nmekosa chuo.
Nmesoma PCB nna point sita yaani phys D chem B na biol C.
Mpangilio wangu wa vyuo ulikuwa hivi.
1.maabara (muhas)
2.environmental science and management (ardhi)
3.interior design (ardhi)
4.food science (udsm)
5.fisheries (udsm)
Ila cha kushangaza nmekosa first round!! Nkaambiwa nfanye second round! Ila cha ajabu zaidi nkakuta kozi ambazo nliziomba kama vile INTERIOR DESIGN & FISHERIES zimebaki.Nkachagua tena kwa Mara ya pili INTERIOR DESIGN ya ardhi.
Sasa wakuu ni kweli priority tano tunazochagua TCU wanazifanyia kazi?

Mkuu uliomba Diploma au Degree???
 
Sina uhakika kama hii system ya TCU itaweza kulast for the next five years. Inalaumiwa kila kona ya nchi.
 
Daaa! Nooma sana big TCU this tme kuna nini!? Inamana wanasoma distinction tu!? Meritorious zote chali why!? Mwaka Jana merit hawakutemwa bhana. ......nauliza usipoomba second round nakuacha waz kwa kuwa kozi zote zilizobaki night arts nawe ni mwana PUB na umefaulu kwa merit yap mwanzo je, itakuwaje make wengine tumekata tamaa kabisa na chuo. ...mtu una pambana advance unaibuka na kitu chamaana bt unatemwa ( above 3 GPA) .....naomba mawazo kama nikiacha make da am lost now ndugu zangu

Ukiacha bila kuchagua ina maana automatically utakuwa umekosa chuo.... Itabidi usubir mpaka mwakani tena ufanye application upya..... Ila ni bora uache tu maana course zilizobaki zote ni vimeo vitupu, ukijaza ina maana kuna uwezkano mkubwa wakakuchagua sasa tatzo litakuja pale utapoomba transfer ikishndkna kisha ukaacha chuo, mwakani utakapokuwa unaomba tena kuna mlolongo mrefu sijui ufuatulie barua chuo ulichochaguliwa, mara uandike barua TCU wakutoe kwenye system nk, so bora uache tu ili mwakani ufanye application bila usumbufu wa aina hiyo.
 
Ata asipochagua chuo mwaka huu,next year akiomba tena ni lazma awaone TCU .Nina rafiki yangu mwaka Jana hakujaza chuo chochote kwny second round alivyo jaribu kuomba mwaka huu system ilimwambia awa consult TCU. ILA sijui labda mwaka ujao watachange mfumo
 
Niwa consult TCU for what purpose wakat chuo sikupata? Huyo rafiki yako labda kuna makaratee alifanya.
 
Niliwahi kusema hivi kitambo kidogo hapo nyuma.
Sina uhakika kama hii system ya TCU itaweza kulast for the next five years. Inalaumiwa kila kona ya nchi.
Leo mzee amemalizia hivi
Tufikie mahali, TCU iwe mdhibiti lakini watoto wawe na haki ya kuchagua vyuo wanavyovitaka, kuna vyo vinalazimisha kupata wanafunzi kwa saabu wanapokea mkopo, muwaache wanafunzi wachague vyuo wanavyovita, vyuo visivyochaguliwa vife. Nina uhakika mkiwaacha, chuo cha Dar, UDOM, SUA na vyuo vingine vyenye qualification vitapata wanafunzi wengi.
 
Back
Top Bottom