Recent content by FRGR

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nokia 6 ninayo... Ni mnyama aisee... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. F

    JamiiForums Tanzania Samsung j7

    Nauza simu samsung j7 nyeupe imetumika muda mfupi, utapata charge yake na earphones zake, iko vizuri na utanipatia 400000 tuu...kwa ajili ya picha na maelezo zaidi nipigie 0713 190 118
  3. F

    JamiiForums Tanzania Producers wa EDM(Electronic Dance Music)

    Mi naijua ile ya scared to be lonely ni hatari sana ile
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    AHYA SAMSUNG J7 4g 2015 model....380k Kama uko interest nicheki 0713 190 118 kwa ajili ya picha
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    350k nakugea samsung j7 4g
  6. F

    JamiiForums Tanzania Biashara ya gesi ya kupikia

    Kaka nitafute kwa 0713 190 118
  7. F

    JamiiForums Tanzania Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Kaka Biashara2000..nahitaji kuwasiliana na wewe namba yangu ni 0713 190 118
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina samsung galaxy j7(muvika)...mpyaaa...warranty miaka miwili...camera 13mp nyuma..5mp mbele...ina flash mbele na nyuma..na imeingizwa kwenye droo unaweza ukajishindia tv...pluss...screen protector ya glass..na cover...nahitaji 520k..fastaa...nipo mabibo dsm...nipigie au whatsapp kwa 0713 190 118
  9. F

    JamiiForums Tanzania Samsung j7 inauzwa

    Ni mpya kabisa, ina kila kitu,pluss secreen protector ya glass,pluss cover. Ina wallanty miaka miwili na warranty ipo. Ni 520k, kama upo serious kwa wakaz wa DSM, nicheki kwa 0713 190 118.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Pikipiki Boxer inauzwa

    aisee nilikosea...ila ni between 1.6 na 1.5.....aliye tayari anicheki...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Pikipiki Boxer inauzwa

    Pikipiki ya kampuni ya bajaj boxer bm 150 inauzwa...ilikuwa inatumika kwa matumizi binafsi na si bodaboda...ni 1.5...ina miezi 8 tangu inunuliwe....1.6m... Aliye tayari ani cheki kwa whatsapp 0713 190 118 Kwa ajiri ya picha....nipo mabibo Dsm..
  12. F

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme, CCTV, Dish, Solar anapatikana

    niko dar
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    nimeingia kwenye page ya cocay cola ambapo kiba atakuwa live akijibu maswali... ndio post yenye comments na likes nyingi zaidi ktk page yao....afu wakija huku wanaponda akati wanamfuatilia chochote anachofanya.. nendeni fb mkaone page ya coca cola
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    yeah niliona movie moja ya kihindi inaitwa barfi.... ni filamu ambayo ilitakiwa ionekane ni ya miaka ya 70 japo ime ektiwa 2012....nilitazama behind the scene... ndo wakawa wanatengeneza mazingira kama hayo... mpaka treni...wakawa wanajenga nyumba.. mavazi... n.k..any one akatafute Barfi kutoka...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    hahahaha.... baada ya kuona maji ya moto yameshindwa kuunguza nyumba sasa inabidi tu uwe mole...sasa utafanyaje dua la kuku limeshindwa kumpata kuku... hata mwana mwanzoni kulikuwa na comment za matusi ila walichoka na sasa ukienda kutazama comments za watu wenye akili tu zinasifia.... tatizo...
Back
Top Bottom