Recent content by Frey Cosseny

  1. Frey Cosseny

    Tanzania yaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na miradi mingi ya ujenzi na yenye thamani kubwa sana. Kenya yafuata

    Uzuri ni kwamba Wapinzani wanaongoza kwa miradi ya kueneza Ushoga na Usagaji Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Frey Cosseny

    Kati ya Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkurugenzi wa Halmashauri ni nani bosi wa mwenzie?

    Ndugu mwerevu wewe ndiye mpumbavu wa mwisho wa Reli huyu anayemwita mjinga yuko Sahihi. Mwenyekiti wa Halmashauri Ndiyo huyo kwenye Manispaa au Jiji anaitwa Meya. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Frey Cosseny

    Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

    Majuzi niliona video clip ikitembea kwenye social media ikimnukuu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Komred Alexander Mnyeti akitoa tamko la kusitisha shughuli ya Umoja wa Watu wa Kilimanjaro katika mkoa wa Manyara. Baada ya video hiyo kusambaa nikaona jamii ya Wachaga na wafuasi wao wa vyama vya Upinzani...
  4. Frey Cosseny

    Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

    Sisi Wanaccm moyo kwatuuu. Watanyooka tu mawakala wa Mabeberu Naona Mabeberu yametoa masharti bila kushiriki sherehe pesa hawaleti[emoji3][emoji3][emoji3] ccm mbele kwa mbeleeee Magufuli oyeeeeeeee Magufuli safiiiiiii
  5. Frey Cosseny

    CHADEMA haiwezi kwenda Ikulu - Prof. Safari

    Nimesikiliza mahojiano ya Makamu mwenyekiti wa Chadema professor Abdallah Safari akiongelea Demokrasia ya vyama vingi hapa nchini na hasa fursa ya vyama vya Upinzani kushika Dola. Kwanza muelewe Alhaj Professor Abdalah Safari kama alivyo Mh Freeman Mbowe, Professor Ibrahim Lipumba na Mzee...
  6. Frey Cosseny

    Tetesi: John Heche kahujumiwa na chama chake CHADEMA

    Mbona wewe una jina Bandia?[emoji3]
  7. Frey Cosseny

    Tetesi: John Heche kahujumiwa na chama chake CHADEMA

    NewOrder, Bulaya tena? Umesoma post kweli?
  8. Frey Cosseny

    Maalim Seif Sharif: Uvumilivu sasa basi, wanachama lindeni ofisi na mali za chama

    Nimefuatilia kinachoitwa Press conference ya aliyekuwa Waziri Kiongozi na baadae Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Seif Sharif Hamad iliyofanyika Leo Zanzibar. Katika hiyo Press conference nimegundua kuwa Mzee Seif Sharif Hamad amepungukiwa hoja Kabisa. Hoja ya...
  9. Frey Cosseny

    Club ya wafadhili CHADEMA wamkataa Tundu Lissu

    Nimeona wachangiaji wa masuala ya Siasa hapa nchini wakichangia kinachoitwa Uchaguzi ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Changamoto kubwa inayowakumba wanasiasa hapa nchini ni kuwa wameingia ktk siasa aidha kwa Ushabiki au lengo ya kusaka madaraka ndani ya vyama ivyo au ndani...
  10. Frey Cosseny

    CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Kumbe lengo la Chama cha Demokrasia na Maendeleo kujitoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kutaka kuitwa na Serikali wabembelezwe eti Ndiyo warudi wallahi hii imekula kwenu siyo kwa Dr John Pombe Magufuli. Mkakati huu umeandaliwa na Umoja wa Ulaya kupitia Ubalozi wao hapa nchini. Mpango...
  11. Frey Cosseny

    Wagombea wa upinzani na utapeli wa kisiasa

    UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA: WAPINZANI NA PROPAGANDA NYEUSI Moja ya kitengo muhimu katika vyama vya siasa ni Kitengo cha Propaganda. Vyama vingi vya kifidhihina (Conservatives) utumia propaganda nyeusi kufikisha ujumbe kwa wafuasi wao ili kuwarubuni wasing'amue ukweli ya mambo yaliyomo ndani...
  12. Frey Cosseny

    Angalia mwongozo wa kanuni uliyowachinja Wapinzani

    WALE WANAOLALAMIKA WAMEONEWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WAMEZINGATIA HAYA? 1 . Kama majina yake yatatofautiana kati ya majina aliyojaza kwenye fomu na majina aliyojiandikisha kwenye daftari. Angalia kanuni ya 13 (e) Uk. 152 2. Endapo mdhamini hataandika majina matatu na cheo ktk vyama...
  13. Frey Cosseny

    Ushauri wa Kipuuzi kwenu Wapinzani: Mpeni Kamba Magufuli ajinyonge mwenyewe

    Hebu jaribuni wasimamizi wa Uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wenu atoke nje ya chadema tuone kama hamtakatana mapanga kati watu wa Kilimanjaro na mikoa mingine
Back
Top Bottom